SOKO LA HISA WIKI HII JIJINI DAR ES SALAAM
Meneja Mradi na biashara wa soko la hisa hapa nchini, Patrick Msusa akizungumza na na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, kuhusiana na kushuka kwa soko la hisa kwa asilimia 85.85 ukilinganisa na wiki iliyopita ambapo ziliuwa hisa 14,685 na kushuka kwa wiki hii hisa 2,1077 zilizouzwa. Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria katika ofisi za soko la hisa leo jijini Dar es Salaam.Picha na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL28 Sep
9 years ago
GPL21 Sep
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-TOBwxK9VnIg/VliDFFHxwXI/AAAAAAAIIqE/V3lDmMLyo4w/s72-c/9f4a3aca-de84-4ece-9922-d63afd20a4ad.jpg)
Waziri Mkuu Majaliwa azindua ununuzi wa hisa za Benki ya Walimu (MCB) kwenye soko la hisa la Dar es salaam
![](http://1.bp.blogspot.com/-TOBwxK9VnIg/VliDFFHxwXI/AAAAAAAIIqE/V3lDmMLyo4w/s640/9f4a3aca-de84-4ece-9922-d63afd20a4ad.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-ue0-2ib1FB0/VliDGkiTKRI/AAAAAAAIIqM/06nLNnuJBSA/s640/f5495cae-d0c8-49ec-bc5d-75a4d05ffd5d.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-iOsVEQTLueY/VliDLYkZ82I/AAAAAAAIIqY/k7fiz8VGAh4/s640/8e109898-bfd6-415c-b13f-22fdbc4c8ea7.jpg)
9 years ago
GPL05 Oct
11 years ago
Dewji Blog12 Aug
Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala yakaribishwa rasmi Soko la Hisa la Dar es Salaam
![2](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/08/26.jpg)
Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala Bw. David Mestres akiongea na waandishi wa habari(hawapo pichani) wakati wa sherehe za kukaribishwa rasmi kwa kampuni ya Swala kwenye soko la Hisa la Dar Es Salaam.
Mwenyekiti wa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala Bw. Ernest...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-c1_LUxTC2to/VlqW-rhigOI/AAAAAAAII4E/lFs1ch9sLs0/s72-c/b1a22d93-e27f-4f02-bf3c-b0e9fcdcf368.jpg)
Waziri Mkuu aipongeza benki ya walimu kujiorodhesha katika Soko la hisa la Dar es salaam -DSE
![](http://1.bp.blogspot.com/-c1_LUxTC2to/VlqW-rhigOI/AAAAAAAII4E/lFs1ch9sLs0/s640/b1a22d93-e27f-4f02-bf3c-b0e9fcdcf368.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-wpfzOdEXhkg/VlqW-vHJ8fI/AAAAAAAII4A/habwMb1Fliw/s640/db9e2271-d2c6-434a-aa17-c8e74bc04224.jpg)
10 years ago
Michuzi22 Apr
NHC) NA SOKO LA HISA LA DAR ES SALAAM ZATILIANA SAINI MKATABA WA MANUNUZI YA ENEO LA OFISI JENGO LA MOROCCO SQUARE
![hc1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/04/hc1.jpg)
Mkurugenzi wa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), Nehemia Mchechu (kushoto), akibadilishana hati za mkataba na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Soko la Hisa Dar es Salaam (DSE), Moremi Marwa wakitiliana saini makubaliano rasmi ya mauzo ya sehemu ya eneo la ofisi katika mradi wa kipekee mpya wa Morocco Square, Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Ujenzi wa mradi huo wenye huduma mbalimbali za kisasa unaendelea. (Picha kwa Hisani ya Kitengo cha Mawasiliano kwa Umma na Huduma kwa Jamii)
![hc2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/04/hc2.jpg)
10 years ago
Vijimambo22 Apr
UTIAJI SAINI MANUNUZI YA ENEO LA OFISI KWENYE JENGO LA MOROCCO SQUARE KATI YA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) NA SOKO LA HISA LA DAR ES SALAAM
![hc1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/04/hc1.jpg)
![hc2](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/04/hc2.jpg)
10 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2015/04/hc1.jpg)
UTIAJI SAINI MANUNUZI YA ENEO LA OFISI KWENYE JENGO LA MOROCCO SQUARE KATI YA SHIRIKA LA NYUMBA LA TAIFA (NHC) NA SOKO LA HISA LA DAR ES SALAAM