Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


GLOBAL TV ONLINE: MAUZO KATIKA SOKO LA HISA YAPANDA WIKI HII

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

SOKO LA HISA WIKI HII JIJINI DAR ES SALAAM


Meneja Mradi na biashara wa soko la hisa hapa nchini, Patrick Msusa akizungumza na na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo, kuhusiana na kushuka kwa soko la hisa kwa asilimia 85.85 ukilinganisa na wiki iliyopita ambapo ziliuwa hisa 14,685 na kushuka kwa wiki hii hisa 2,1077 zilizouzwa. Baadhi ya waandishi wa habari waliohudhuria katika ofisi za soko la hisa leo jijini Dar es Salaam.Picha na Avila Kakingo,Globu ya Jamii.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mauzo CRDB yashuka soko la hisa

BENKI ya CRDB imeshuka kwa asilimia moja katika mauzo kwenye soko la Hisa Agosti 7 hadi 12, mwaka huu. Akizungumza na waandishi habari jana Ofisa  maendeleo na masoko wa Hisa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Idadi ya mauzo ya soko la Hisa la Dar yashuka

IMG_6739

Meneja Miradi na Biashara wa DSE, Patrick Mususa.

Na Ally Daud – MAELEZO, Dar Es Salaam

IDADI ya mauzo katika soko la hisa la Dar es salaam (DSE) imeshuka  kwa asilimia 78 kutoka Tsh. Bilioni 29.8 hadi Tsh. Bilioni 6.4 kwa kipindi cha wiki moja iliyopita.

Aidha idadi ya hisa zilizouzwa katika soko  hilo pia zimeshuka kwa asilimia 60 kutoka Tsh. Milioni11.2 hadi kufikia Tsh. Milioni 4.3 kutokana na makampuni mengi kutowekeza katika soko la hisa.

Akizungumza na waaandishi wa habari leo...

 

11 years ago

Michuzi

BENKI YA CRDB KUUZA HISA ZAKE KATIKA SOKO LA HISA LA NAIROBI

Benki ya CRDB inatarajia kuuza Hisa zake katika Soko la Hisa la Nairobi, fursa ambayo itatoa wigo mpana zaidi wa biashara ya hisa za Benki hiyo katika soko la Afrika Mashariki.
Hayo yalisemwa leo na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki hiyo, Dk. Charles Kimei wakati wa siku ya kwanza ya mkutano mkuu wa wanachama wote unaofanyika hapa jijini Arusha.
Kimei alisema uuzaji wa hisa katika Soko la Hisa la Nairobi utafanya bei ya hisa za benki ya CRDB kupanda kutokana na ukweli kwamba katika soko la Dar...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ulaghai wadaiwa katika soko la hisa Uchina

Huku bei ya hisa zikiimarika nchini Uchina, wasimamizi wa sekta za uchumi nchini humo wameanzisha uchunguzi kuhusiana na kile shirika la habari limetaja kuwa ulaghai katika soko la hisa.

 

9 years ago

StarTV

Kampuni mpya zaingia kwa kishindo  katika soko la hisa

 

Soko la Hisa la Dar es Salaam, DSE limeeleza kushuhudia mabadiliko kiasi ya shughuli zake kwa wiki hii, wakati ambapo pia linapita kwenye hatua ya kujirekebisha baada ya kumalizika kwa mchakato wa uchaguzi mkuu kwa baadhi ya kaunta za soko hilo kuonyesha hali ya tofauti kwenye mauzo ya hisa zake.

Baadhi ya kampuni zilizokuwa zikifanya vizuri zaidi, zimeonekana kuzidiwa kimauzo na kampuni nyingine, hususan taasisi za fedha ambazo zimeonyesha kupanda zaidi kimauzo.

Soko hilo limeshuhudia...

 

9 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu Majaliwa azindua ununuzi wa hisa za Benki ya Walimu (MCB) kwenye soko la hisa la Dar es salaam

 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa  akizungumza wakati alipozindua  uuzaji wa hisa za Benki ya Walimu MCB kwenye soko la hisa la Dar es salaam, uliofanyika jijini Dar es salaam leo Novemba 27, 2015 Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majliwa akigonga kengelle kuashiria uzinduzi wa ununuzi wa  hisa za Benki ya Walimu- MCB kwenye soko la hisa la Dar es salaam. Uzinduzi huo ulifanyika   jijini Dar es salaam leo Novemba 27, 2015. Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa  akiteta na baadhi ya Viongozi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani