Sumaye kubariki Tamasha la Krismasi jijini Mbeya
![](http://3.bp.blogspot.com/-csDZAL90kRI/VI1Bms8SRsI/AAAAAAAG3FA/qRZmWdqmcKc/s72-c/images.jpg)
WAZIRI Mkuu mstaafu, Mhe Frederick Sumaye, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi wakati wa Tamasha la Krismas Desemba 25 mwaka huu Uwanja wa Sokoine, jijini Mbeya. Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama ilieleza kuwa maandalizi kuhusiana na tamasha hilo yanaenda vizuri. “Tulikubaliana katika kamati tumuombe Waziri Mkuu mstaafu Sumaye aje atupe baraka kwenye tamasha la Krismasi, nafurahi kusema ni mtu wa watu, amekubali kujumuika...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziSumaye kubariki Tamasha la Krismas Mbeya
10 years ago
Dewji Blog25 Dec
Waziri Mkuu mstaafu Frederick Sumaye awasili jijini Mbeya, tayari kwa kuongoza tamasha la Krismas
Waziri Mkuu mstaafu Mh. Fredrick Sumaye akiwasili na ndege ya shirika la ndege la Fastjet kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Songwe mjini Mbeya huku akiwa ameongozana na Katibu Mkuu wa Umoja wa Makanisa ya Kipentekoste nchini (CPCT), Askofu David Mwasota kushoto na Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion Bw. Alex Msama Tayari kwa kuhudhuria Tamasha la Krismas ambalo linafanyika kwenye uwanja wa Sokoine jijini Mbeya, Mh, Sumaye atakuwa mgeni rasmi katika tamasha hilo ambalo...
10 years ago
Michuzi25 Dec
MGENI RASMI WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDRICK SUMAYE AWASILI JIJINI MBEYA, TAYARI KWA KUONGOZA TAMASHA LA KRISMAS
![1](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/122.jpg)
10 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/212.jpg)
MGENI RASMI WAZIRI MKUU MSTAAFU FREDRICK SUMAYE AWASILI JIJINI MBEYA, TAYARI KWA KUONGOZA TAMASHA LA KRISMAS
10 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2014/12/29.jpg)
WAIMBAJI WA TAMASHA LA KRISMASI MKOANI MBEYA WAELEZEA MAANDALIZI YAO
11 years ago
GPL![](http://www.fullshangweblog.com/wp-content/uploads/2013/12/2B1.jpg?width=640)
TAMASHA LA KRISMASI LAFANA UWANJA WA TAIFA, JIJINI DAR
9 years ago
MichuziMAASKOFU, WACHUNGAJI KUBARIKI TAMASHA LA AMANI
Na Mwandishi WetuMAASKOFU wa madhehebu mbalimbali na Wachungaji wanatarajiwa kushiriki kwenye Tamasha la Amani linalotarajiwa kufanyika Oktoba 4, mwaka huu Dar es Salaam.
Tamasha la Amani ambalo litahusisha waimbaji mbalimbali wa nyimbo za Injili ni maalum kwa ajili ya kuombea amani katika Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani utakaofanyika Oktoba 25 mwaka huu.
Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa Dar es...
11 years ago
Mwananchi09 Dec
Tamasha la Krismasi
11 years ago
Mwananchi25 Dec
Kumekucha Tamasha la Krismasi leo