Kumekucha Tamasha la Krismasi leo
Mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili Afrika Kusini, Solly Mahlangu ametua nchini jana na kuahaidi kuwapa Wwatanzania burudani ya kutosha kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.“Ni mara yangu ya kwanza kuja Tanzania, nilikuwa napasikia tu sikuwahi kufika, namshukuru Mungu kwa kuniwezesha
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog24 Jul
Kumekucha tamasha la Saba la Muziki wa Cigogo 2014
Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Sanaa Chamwino ‘CAC’, Dr. Kedmon Mapana (katikati) akifafanua jambo kwa wanahabari (hawapo pichani) wakati wa mkutano wa utambulisho wa tamasha la saba la muziki wa Cigogo 2014. Kushoto kwake ni Katibu wa CAC, Sospeter Elisha Mapana na wa upande wa kulia ni Nason Mazengo, Kaimu Mkurugenzi.
-Dk . Nchimbi kubariki ufunguzi kesho
Na Andrew Chale, Dodoma
SHAMRA shamra za tamasha la Muziki wa Cigogo zinatarajia kulipuka hiyo kesho Julai 25, kwenye kijiji cha...
11 years ago
Mwananchi09 Dec
Tamasha la Krismasi
9 years ago
Dewji Blog18 Sep
Kumekucha tamasha la 34 la Kimataifa la Sanaa na Utamaduni Bagamoyo kufanyika Sept 21-27
![2](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/09/26.jpg)
11 years ago
GPLTAMASHA LA KRISMASI LILIVYOFANA DAR
10 years ago
Mwananchi22 Apr
Tamasha la Krismasi hadi mikoani
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
DVD Tamasha la Krismasi yakamilika
KAMPUNI ya Msama Promotions ambao ni waandaaji wa matamasha ya Pasaka na Krismasi, imekamilisha DVD ya Tamasha la Krismasi lililomalizika Januari mwaka huu. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Msama Promotions,...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-etVhOCEJN4Q/VIFuOdDCMuI/AAAAAAACv7E/OLGBrqTfMd0/s72-c/EDSON.jpg)
Mwasabwite kukonga Tamasha la Krismasi
![](http://4.bp.blogspot.com/-etVhOCEJN4Q/VIFuOdDCMuI/AAAAAAACv7E/OLGBrqTfMd0/s1600/EDSON.jpg)
Mwasabwite alisema amejipanga kikamilifu kukonga nyoyo za mashabiki wake katika tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika Desemba 25, 26 na 28 hivyo mashabiki zake wajitokeze kwa wingi kupata burudani ya nguvu...