Tamasha la Krismasi hadi mikoani
>Maandalizi ya msimu wa sikukuu yameanza na kwa mara ya kwanza mwaka huu kutakuwa na Tamasha la Krismasi ambalo litazunguka katika mikoa kadhaa nchini.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi09 Dec
Tamasha la Krismasi
11 years ago
Tanzania Daima20 Feb
DVD Tamasha la Krismasi yakamilika
KAMPUNI ya Msama Promotions ambao ni waandaaji wa matamasha ya Pasaka na Krismasi, imekamilisha DVD ya Tamasha la Krismasi lililomalizika Januari mwaka huu. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Msama Promotions,...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-etVhOCEJN4Q/VIFuOdDCMuI/AAAAAAACv7E/OLGBrqTfMd0/s72-c/EDSON.jpg)
Mwasabwite kukonga Tamasha la Krismasi
![](http://4.bp.blogspot.com/-etVhOCEJN4Q/VIFuOdDCMuI/AAAAAAACv7E/OLGBrqTfMd0/s1600/EDSON.jpg)
Mwasabwite alisema amejipanga kikamilifu kukonga nyoyo za mashabiki wake katika tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika Desemba 25, 26 na 28 hivyo mashabiki zake wajitokeze kwa wingi kupata burudani ya nguvu...
11 years ago
Mwananchi25 Dec
Kumekucha Tamasha la Krismasi leo
11 years ago
GPLTAMASHA LA KRISMASI LILIVYOFANA DAR
10 years ago
MichuziBASATA yatoa msukumo Tamasha la Krismasi
Katibu Mtendaji wa Basata, Godfrey Mungereza alisema kwa mwenendo huo bora unaofanywa na Msama anatoa wito kuendeleza mwenendo huo ili kuisaidia jamii. Mungereza alisema Msama anafanikisha hayo kwa sababu anaipenda jamii...
11 years ago
Tanzania Daima22 Dec
Waimbaji Tamasha la Krismasi waanza kutuaÂ
WAIMBAJI wa kimataifa wa nyimbo za injili ambao watahudumu katika Tamasha la Krismasi litakalozinduliwa Desemba 25 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, wameanza kuwasili tayari kuwapa raha wapenzi,...
9 years ago
Habarileo22 Dec
Nape mgeni rasmi tamasha la Krismasi
WAZIRI wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye anatarajiwa kumwakilisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kwenye Tamasha la Krismasi litakalofanyika Desemba 25 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee ,Dar es Salaam.