Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tamasha la Krismasi

Kampuni ya Msama Promotions ambao ni waandaaji wa Tamasha la Krismasi wametangaza viingilio vya tamasha hilo ambavyo kima cha chini ni sh 5000.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Tamasha la Krismasi hadi mikoani

>Maandalizi ya msimu wa sikukuu yameanza na kwa mara ya kwanza mwaka huu kutakuwa na Tamasha la Krismasi ambalo litazunguka katika mikoa kadhaa nchini.

 

11 years ago

Mwananchi

Kumekucha Tamasha la Krismasi leo

Mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili Afrika Kusini, Solly Mahlangu ametua nchini jana na kuahaidi kuwapa Wwatanzania burudani ya kutosha kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.“Ni mara yangu ya kwanza kuja Tanzania, nilikuwa napasikia tu sikuwahi kufika, namshukuru Mungu kwa kuniwezesha

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA KRISMASI LILIVYOFANA DAR

Oliver Wema kutoka Arusha ambaye ni mwanafunzi wa Rose Mhando akitumbuiza pamoja na wachezaji wake. Bonny Mwaitege akicheza pamoja na vijana wake.…

 

10 years ago

Michuzi

Mwasabwite kukonga Tamasha la Krismasi

MWIMBAJI wa nyimbo za injili nchini Edson Mwasabwite anayetamba kwa sasa na kibao chake kijulikanacho kwa jina la ‘Ni kwa Neema na Rehema’ amewataka Watanzania kujitokeza kwa wingi katika Tamasha la Krismasi litakalofanyika katika mikoa ya Mbeya, Iringa na Songea Desemba mwaka huu.
Mwasabwite alisema amejipanga kikamilifu kukonga nyoyo za mashabiki wake katika tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika Desemba 25, 26 na 28 hivyo mashabiki zake wajitokeze kwa wingi kupata burudani ya nguvu...

 

11 years ago

Tanzania Daima

DVD Tamasha la Krismasi yakamilika

KAMPUNI ya Msama Promotions ambao ni waandaaji wa matamasha ya Pasaka na Krismasi, imekamilisha DVD ya Tamasha la Krismasi lililomalizika Januari mwaka huu. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Msama Promotions,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kishindo Tamasha la Krismasi gumzo Dar

ZIKISALIA siku chache kabla ya kufanyika Tamasha la muziki wa Injili la Krismasi litakalozinduliwa Desemba 25 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kabla ya kuhamia Arusha, Morogoro, Tanga...

 

9 years ago

Mtanzania

Rebeca Malope ndani ya Tamasha la Krismasi

rebecca-malopeNA MWANDISHI WETU

MWIMBAJI wa muziki wa injili, Rebecca Malope ambaye ni raia wa Afrika Kusini, anatarajia kuongeza nguvu katika Tamasha la Krismasi linalotarajia kufanyika Desemba 25 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.

Mwenyekiti wa kamati ya maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama, alisema mwimbaji huyo atakuwa jukwaa moja na wenzake, Sarah K wa Kenya na Ephraim Sekeleti wa Zambia.

Msama alisema kamati yake inaendelea na mchakato wa kufanikisha tamasha hilo ambalo ni...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Waimbaji Tamasha la Krismasi waanza kutua 

WAIMBAJI wa kimataifa wa nyimbo za injili ambao watahudumu katika Tamasha la Krismasi litakalozinduliwa Desemba 25 kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, wameanza kuwasili tayari kuwapa raha wapenzi,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani