Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TAMASHA LA KRISMASI LILIVYOFANA DAR

Oliver Wema kutoka Arusha ambaye ni mwanafunzi wa Rose Mhando akitumbuiza pamoja na wachezaji wake. Bonny Mwaitege akicheza pamoja na vijana wake.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

TAMASHA LA KOMAA CONCERT LILIVYOFANA NDANI YA KIOTA CHA MARAHA CHA DAR LIVE JIJINI DAR

 Uongozi pamoja na Wafanyakazi wa kituo cha radio ya EFM 93.7 kwa pamoja wakikata keki kusherehekea kutimiza mwaka mmoja wa kituo hicho ambacho kwa sasa kinakuja kwa kasi jijini Dar na kwingineko,hafla hiyo ilikwenda sambamba na kuadhimisha miaka 16 ya msanii Mkongwe wa muziki wa kizazi kipya Juma Nature,katika tamasha lililoitwa  KOMAA CONCERT,ambalo lilifanyika ndani ya kiota cha maraha cha Dar Live,Mbagala jijini Dar mwishoni mwa wiki na kuhudhuriwa na maelfu ya mashabiki na wapenzi wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kishindo Tamasha la Krismasi gumzo Dar

ZIKISALIA siku chache kabla ya kufanyika Tamasha la muziki wa Injili la Krismasi litakalozinduliwa Desemba 25 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kabla ya kuhamia Arusha, Morogoro, Tanga...

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA KRISMASI LAFANA UWANJA WA TAIFA, JIJINI DAR

Mwimbaji wa muziki wa injili Solomon Mahlangu kutoka nchini Afrka Kusini akiimba jukwaani  kwenye uwanja wa Taifa katika tamasha kubwa la Krismas lililofanyika jijini Dar es salaam likishirikisha waimbaji wengi kutoka nchi mbalimbali za afrika wakiwemo waimbaji wa Tanzania, Mwimbaji huyo Nguli wa muziki wa njili ameonyesha uzoefu mkubwa katika kuimba tofauti na waimbaji wengine waliotangulia ukiacha Ephraim Sekereti wa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Tamasha la vyakula vya asili lilivyofana Umbrella Garden jijini Arusha

mratibu sensa1

Mratibu wa Sensa mkoa wa Arusha Bi.Magreth Martin akizungumza na wadau pamoja na wakazi wa jiji la Arusha waliofika kwenye tamasha hilo.

*Wafanyabiashara watakiwa kuanzisha kituo cha utalii wa chakula cha asili

Na Mwandishi wetu, Tanzaniasasablog

WAFANYABIASHARA  wametakiwa kubuni mbinu mpya ya kutangaza sekta ya utalii nchini kwa kuanzisha vituo cha utalii wa vyakula vya asili ili kuvutia watalii wanaotembelea jiji la Arusha kujionea vyakula hivyo na hatimaye kupata mlo kamili wenye asili...

 

11 years ago

Mwananchi

Tamasha la Krismasi

Kampuni ya Msama Promotions ambao ni waandaaji wa Tamasha la Krismasi wametangaza viingilio vya tamasha hilo ambavyo kima cha chini ni sh 5000.

 

10 years ago

Vijimambo

GLOBAL TV ONLINE :SHUHUDIATAMASHA LA WAUZA MAGAZETI DAR LIVE LILIVYOFANA


KAMPUNI ya Global Publishers ambayo ni wachapishaji wa Magazeti ya Amani, Uwazi, Championi, Risasi, Ijumaa, Uwazi Mizengwe na Ijumaa Wikienda, Jumapili iliyopita iliwafanyia bonge la sherehe wauzaji wa magazeti na mawakala wao ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani, Dar Live uliopo Mbagala-Zakhem jijini Dar.Mkurugenzi wa Global Publishers, Eric Shigongo akizungumza na mawakala na wauza magazeti wa jijini Dar.Sherehe hiyo ilifanyika kwa lengo la kuwakusanya wauza magazeti wote jijini Dar ili...

 

10 years ago

Michuzi

Mwasabwite kukonga Tamasha la Krismasi

MWIMBAJI wa nyimbo za injili nchini Edson Mwasabwite anayetamba kwa sasa na kibao chake kijulikanacho kwa jina la ‘Ni kwa Neema na Rehema’ amewataka Watanzania kujitokeza kwa wingi katika Tamasha la Krismasi litakalofanyika katika mikoa ya Mbeya, Iringa na Songea Desemba mwaka huu.
Mwasabwite alisema amejipanga kikamilifu kukonga nyoyo za mashabiki wake katika tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika Desemba 25, 26 na 28 hivyo mashabiki zake wajitokeze kwa wingi kupata burudani ya nguvu...

 

10 years ago

Mwananchi

Tamasha la Krismasi hadi mikoani

>Maandalizi ya msimu wa sikukuu yameanza na kwa mara ya kwanza mwaka huu kutakuwa na Tamasha la Krismasi ambalo litazunguka katika mikoa kadhaa nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani