Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BASATA yatoa msukumo Tamasha la Krismasi

SERIKALI kupitia Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemtaka Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama kuongeza ufanisi zaidi katika Tamasha la Krismasi mwaka huu kwa sababu  kupitia matamasha yake anafanikisha matakwa ya jamii yenye uhitaji maalum. 
Katibu Mtendaji wa Basata, Godfrey Mungereza alisema  kwa mwenendo huo bora unaofanywa na Msama anatoa wito kuendeleza mwenendo huo ili kuisaidia jamii. Mungereza alisema Msama anafanikisha hayo kwa sababu anaipenda jamii...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Tamasha la Krismasi

Kampuni ya Msama Promotions ambao ni waandaaji wa Tamasha la Krismasi wametangaza viingilio vya tamasha hilo ambavyo kima cha chini ni sh 5000.

 

11 years ago

Michuzi

BASATA YAPONGEZA TAMASHA LA KRISIMASI


 SERIKALI kupitia Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) imeipongeza Kampuni ya Msama Promotions kufanikisha tamasha jipya la Krismasi lililofanyika mwishoni mwa mwaka jana. Licha ya kampuni hiyo kupitia Kamati ya Maandalizi kukumbana na changamoto mbalimbali, Basata limeipongeza kampuni hiyo  kwa kuanza vema katika mikoa mitano lilikofanyika.
Akizungumza katika Kikao cha kuwasilisha ripoti ya tathmini ya Tamasha la Krismasi iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa mikutano wa Basata, Ofisa...

 

10 years ago

Michuzi

Mwasabwite kukonga Tamasha la Krismasi

MWIMBAJI wa nyimbo za injili nchini Edson Mwasabwite anayetamba kwa sasa na kibao chake kijulikanacho kwa jina la ‘Ni kwa Neema na Rehema’ amewataka Watanzania kujitokeza kwa wingi katika Tamasha la Krismasi litakalofanyika katika mikoa ya Mbeya, Iringa na Songea Desemba mwaka huu.
Mwasabwite alisema amejipanga kikamilifu kukonga nyoyo za mashabiki wake katika tamasha hilo linalotarajiwa kufanyika Desemba 25, 26 na 28 hivyo mashabiki zake wajitokeze kwa wingi kupata burudani ya nguvu...

 

11 years ago

Mwananchi

Kumekucha Tamasha la Krismasi leo

Mwimbaji maarufu wa nyimbo za Injili Afrika Kusini, Solly Mahlangu ametua nchini jana na kuahaidi kuwapa Wwatanzania burudani ya kutosha kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam leo.“Ni mara yangu ya kwanza kuja Tanzania, nilikuwa napasikia tu sikuwahi kufika, namshukuru Mungu kwa kuniwezesha

 

10 years ago

Mwananchi

Tamasha la Krismasi hadi mikoani

>Maandalizi ya msimu wa sikukuu yameanza na kwa mara ya kwanza mwaka huu kutakuwa na Tamasha la Krismasi ambalo litazunguka katika mikoa kadhaa nchini.

 

11 years ago

GPL

TAMASHA LA KRISMASI LILIVYOFANA DAR

Oliver Wema kutoka Arusha ambaye ni mwanafunzi wa Rose Mhando akitumbuiza pamoja na wachezaji wake. Bonny Mwaitege akicheza pamoja na vijana wake.…

 

11 years ago

Tanzania Daima

DVD Tamasha la Krismasi yakamilika

KAMPUNI ya Msama Promotions ambao ni waandaaji wa matamasha ya Pasaka na Krismasi, imekamilisha DVD ya Tamasha la Krismasi lililomalizika Januari mwaka huu. Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Msama Promotions,...

 

11 years ago

Michuzi

TAMASHA LA PASAKA RUKSA KUFANYIKA-BASATA



BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA)  mwishoni mwa wiki iliyopita lilikabidhi kibali kupitia Katibu Mtendaji wa baraza hilo, Godfrey Mngereza kwa ajili ya uendeshaji wa Tamasha la Pasaka linaloandaliwa na  Kampuni ya Msama Promotions  ya jijini Dar es Salaam. 
Tamasha hilo ni muendelezo wa Tamasha la Pasaka lililoasisiwa tangu mwaka 2000 likiwa na lengo la kumtukuza na kumtumikia Mungu kupitia nyimbo mbalimbali za waimbaji wa Tanzania na nje ya nchi.
Akizungumzia juu ya kupata kibali...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani