BASATA YAPONGEZA TAMASHA LA KRISIMASI
![](http://4.bp.blogspot.com/-0PBthLeGFWI/Uvtz7h_ZDkI/AAAAAAACal4/emv8NrAOIIY/s72-c/images.jpg)
SERIKALI kupitia Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) imeipongeza Kampuni ya Msama Promotions kufanikisha tamasha jipya la Krismasi lililofanyika mwishoni mwa mwaka jana. Licha ya kampuni hiyo kupitia Kamati ya Maandalizi kukumbana na changamoto mbalimbali, Basata limeipongeza kampuni hiyo kwa kuanza vema katika mikoa mitano lilikofanyika.
Akizungumza katika Kikao cha kuwasilisha ripoti ya tathmini ya Tamasha la Krismasi iliyofanyika jana kwenye ukumbi wa mikutano wa Basata, Ofisa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-Bcqy-Jd-8mI/UrQKleXnajI/AAAAAAACX3Y/Ap4s6OSAv1Y/s1600/tamasha+la+christmas.jpg?width=640)
10 years ago
MichuziBASATA yatoa msukumo Tamasha la Krismasi
Katibu Mtendaji wa Basata, Godfrey Mungereza alisema kwa mwenendo huo bora unaofanywa na Msama anatoa wito kuendeleza mwenendo huo ili kuisaidia jamii. Mungereza alisema Msama anafanikisha hayo kwa sababu anaipenda jamii...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-nh0otPtPK6o/UxQINA7YNBI/AAAAAAAFQr4/bEqAA5cqTFw/s72-c/IMG_5530.jpg)
TAMASHA LA PASAKA RUKSA KUFANYIKA-BASATA
BARAZA la Sanaa la Taifa (BASATA) mwishoni mwa wiki iliyopita lilikabidhi kibali kupitia Katibu Mtendaji wa baraza hilo, Godfrey Mngereza kwa ajili ya uendeshaji wa Tamasha la Pasaka linaloandaliwa na Kampuni ya Msama Promotions ya jijini Dar es Salaam.
Tamasha hilo ni muendelezo wa Tamasha la Pasaka lililoasisiwa tangu mwaka 2000 likiwa na lengo la kumtukuza na kumtumikia Mungu kupitia nyimbo mbalimbali za waimbaji wa Tanzania na nje ya nchi.
![](http://4.bp.blogspot.com/-nh0otPtPK6o/UxQINA7YNBI/AAAAAAAFQr4/bEqAA5cqTFw/s1600/IMG_5530.jpg)
9 years ago
BBCSwahili28 Nov
Avunja rekodi ya kutumia taa nyingi katika mti wa Krisimasi
11 years ago
Tanzania Daima22 Jan
AAAC yapongeza kauli ya JK
KLABU ya African Ambassador Athletics (AAAC) ya jijini Arusha, imempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kutambua na kusema ukweli jinsi ya kupata wanamichezo mahiri nchini, hasa wanariadha. Kwa mujibu wa taarifa...
11 years ago
Tanzania Daima31 Dec
CHADEMA yapongeza wananchi
CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Ziwa Magharibi, kimewapongeza wananchi wa majimbo na kata zote katika ukanda huo, kwa uamuzi wao wa kuwachagua wabunge na madiwani wanaotokana na...
10 years ago
BBCSwahili01 Apr
AU yapongeza uchaguzi Nigeria
9 years ago
Habarileo31 Oct
UN yapongeza uchaguzi Tanzania
KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Kimoon, ametuma salamu za pongezi kwa Watanzania, Serikali na vyama vya siasa, kwa namna walivyoshirikiana katika mchakato wa Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25, mwaka huu na kumpata Rais Mteule wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli.