UN yapongeza uchaguzi Tanzania
KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN), Ban Kimoon, ametuma salamu za pongezi kwa Watanzania, Serikali na vyama vya siasa, kwa namna walivyoshirikiana katika mchakato wa Uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25, mwaka huu na kumpata Rais Mteule wa Awamu ya Tano, Dk John Magufuli.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
BBCSwahili01 Apr
AU yapongeza uchaguzi Nigeria
9 years ago
Mzalendo Zanzibar11 Oct
Yaliojiri wiki hii kwa ufupi:UN yapongeza Maandalizi ya Uchaguzi
NEC Mashine za Kura hazitakaguliwa UKAWA wataishia kunawa tu. Wakati vyama vya upinzani hususan vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), vikiwa na matumaini ya wataalam wao kuruhusiwa kukagua mfumo na mashine zitakazotumika kuhesabia kura kwenye […]
The post Yaliojiri wiki hii kwa ufupi:UN yapongeza Maandalizi ya Uchaguzi appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Tanzania Daima22 Jan
AAAC yapongeza kauli ya JK
KLABU ya African Ambassador Athletics (AAAC) ya jijini Arusha, imempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kutambua na kusema ukweli jinsi ya kupata wanamichezo mahiri nchini, hasa wanariadha. Kwa mujibu wa taarifa...
11 years ago
Tanzania Daima31 Dec
CHADEMA yapongeza wananchi
CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Kanda ya Ziwa Magharibi, kimewapongeza wananchi wa majimbo na kata zote katika ukanda huo, kwa uamuzi wao wa kuwachagua wabunge na madiwani wanaotokana na...
9 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/N0Xct7ZPYQ0/default.jpg)
Simu TV: Mahujaji wa Tanzania wafanya Ibada kuombea amani Tanzania wakati na baada ya uchaguzi mkuu
Kwa habari zaidi BOFYA HAPA
10 years ago
Mwananchi18 Oct
CCM yapongeza Bunge la Katiba
5 years ago
MichuziUSAID yapongeza jitihada za THBUB
11 years ago
Habarileo30 Apr
Serikali yapongeza mradi wa Champion
SERIKALI imepongeza juhudi zilizofanywa na Mradi wa Champion katika kupunguza maambukizi ya Ukimwi. Hayo yalisemwa leo na Mganga Mkuu wa Serikali, Donan Mmbando katika mkutano wa kufunga mradi huo uliofanyika jijini Dar es Salaam.