USAID yapongeza jitihada za THBUB
Mwenyekiti wa THBUB, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu akimkabidhi Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Kimarekani, USAID, Andy Karas Mpango mkakati wa THBUB wa miaka mitano (2018/ 2023) alipotembelea ofisi za THBUB zilizopo jijini Dodoma na kukutana na viongozi wa juu wa taasisi hiyo leo (Februari 20, 2020).
Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo la Kimarekani, USAID, Andy Karas akiongea katika kikao kifupi kilichofanyika baina yake na viongozi wa tume alipotembelea ofisi hizo za THBUB zilizopo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-5jvX_VBemn0/XlTy6fdV2jI/AAAAAAALfN0/Cpuov_BKvjMkr_kAQPVZnRbsE2JZgKFsACLcBGAsYHQ/s72-c/ff54a554-6fea-4ad7-89a4-565a62a867ca.jpg)
THRDC yapongeza uamuzi wa JPM kuwateua Makamishna THBUB
![](https://1.bp.blogspot.com/-5jvX_VBemn0/XlTy6fdV2jI/AAAAAAALfN0/Cpuov_BKvjMkr_kAQPVZnRbsE2JZgKFsACLcBGAsYHQ/s640/ff54a554-6fea-4ad7-89a4-565a62a867ca.jpg)
Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), Onesmo Olengurumwa (kulia) akiongea na Mwenyekiti wa THBUB, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu (kushoto) alipomtembelea ofisini kwake jijini Dodoma leo Februari 24, 2020. Ambapo pamoja na mambo mengine alipongeza uamuzi wa Rais John Magufuli wa kuwateua Makamishna hao wa tume.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/02/945f3633-7130-4725-86a1-307b6fcfd496.jpg)
Mwenyekiti wa THBUB, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu (kushoto) akimuaga Mratibu wa Kitaifa wa Mtandao wa watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC), Onesmo...
10 years ago
MichuziSERIKALI KILIMANJARO YAPONGEZA JITIHADA ZA WAFANYABIASHARA KUTANGAZA HIFADHI YA MLIMA KILIMANJARO
10 years ago
Habarileo15 Jul
THBUB yalaani mauaji ya polisi
TUME ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), imelaani mauaji yaliyofanywa na watu wanaodhaniwa kuwa majambazi, katika kituo cha Polisi Stakishari, Dar es Salaam juzi.
5 years ago
MichuziBalozi wa Denmark ahidi kuendeleza ushirikiano na THBUB
Balozi wa Denmark nchini Tanzania, Mette N. Dissing-Spandet akizungumza na Mwenyekiti wa THBUB, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu katika mazungumzo yaliyofanyika kwenye ofisi za THBUB jijini Dar es Salaam mwishoni mwa juma.
Balozi wa Denmark nchini Tanzania, Mette N. Dissing-Spandet (kulia) akijadiliana jambo na Mwenyekiti wa THBUB, Jaji Mstaafu Mathew Mwaimu katika Maktaba ya THBUB alipokuwa akioneshwa mazingira ya ofisi hizo ambazo zilijengwa kwa msaada wa Denmark.
Afisa wa THBUB, Omary Limu...
9 years ago
Dewji Blog29 Aug
Tamko la THBUB kuhusu Uchaguzi Mkuu 2015
Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB), Mhe. Bahame Tom Nyanduga.
Tamko la THBUB kuhusu Uchaguzi Mkuu 2015.pdf
5 years ago
MichuziTHBUB yatembelea wagonjwa hospitali ya rufaa Dodoma
10 years ago
Habarileo04 May
USAID yawapiga jeki wasioona
CHAMA cha Walemavu Wasioona nchini hapa (ZANAB) wamepokea msaada wa vifaa vya kompyuta vinavyotafsiri maneno ya kawaida kwenda kwenye mfumo wa brail, unaotumiwa na walemavu hao kufahamu maneno yaliyoandikwa.
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-3H_3nVeNFv0/VRpMev9MZ7I/AAAAAAAHOh8/B-LWmC7JxKQ/s72-c/unnamed.jpg)
USAID gets accolades for supporting WMAs
![](http://4.bp.blogspot.com/-3H_3nVeNFv0/VRpMev9MZ7I/AAAAAAAHOh8/B-LWmC7JxKQ/s1600/unnamed.jpg)
5 years ago
MichuziTHBUB, Ireland kuelimisha umma kuhusu haki za binadamu