Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msama Promotions yatangaza Viingilio Tamasha la Pasaka

 Sehemu ya Umati wa watu uliohudhuria tamasha la pasaka mwaka jana katika uwanja wa Taifa.
KAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka, mwishoni mwa wiki iliyopita ilitangaza viingilio vya tamasha hilo litakalofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, viti vya kawaida ni shilingi 5000 na watoto 2000.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi, Alex Msama viti maalum ni shilingi 20,000 wakati VIP  ni shilingi 10,000.Msama alisema hivi sasa wanaendelea na mchakato wa kufanikisha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MSAMA PROMOTIONS YATANGAZA VITUO VYA KUUZIA TIKETI ZA TAMASHA LA PASAKA

 KAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka imetangaza vituo vitakavyouzwa tiketi kwa ajili ya tamasha hilo kwa mkoa wa Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama tiketi hizo zitauzwa katika vituo vitano kwa lengo la kupunguza usumbufu kwa mashabiki wenye nia ya kushiriki tamasha hilo.
Msama alitaja vituo vitakavyouzwa tiketi hizo ni pamoja na Puma Mwenge na Uwanja wa Ndege, Best Bite Namanga, BM Kinondoni  na ofisi za Msama Promotions...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Viingilio Tamasha la Pasaka Dar hadharani

KAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka imetangaza viingilio vya tamasha hilo jijini Dar es Salaam, ambako viti vya kawaida itakuwa ni sh 5,000 kwa wakubwa huku watoto ikiwa ni...

 

11 years ago

Michuzi

Viingilio Tamasha la Pasaka hadharani,kufanyika uwanja wa Taifa

 Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi, Alex Msama akizungumza na baadhi ya Wanahabari kwenye moja ya mikutano yake kuhusiana na tamasha la pasaka. KAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka, mwishoni mwa wiki ilitangaza viingilio vya tamasha hilo jijini Dar es Salaam, viti vya kawaida ni shilingi 5000 na watoto 2000. Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi, Alex Msama viti maalum ni shilingi 20,000 wakati VIP  ni shilingi 10,000.  Msama alisema hivi sasa wanaendelea na mchakato wa...

 

9 years ago

Michuzi

MSAMA PROMOTIONS KUANDAA TAMASHA LA KUIOMBEA TANZANIA INAYOELEKEA KWENYE UCHAGUZI MKUU


Mkurugenzi wa Msama Promotions akizungumza na Waandishi wa habari kwenye ofisi za kampuni hiyo,jijini Dar kuhusiana na kuandaa tamasha la kuiombea Tanzania inayoelekea kwenye uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika,Oktoba 25 mwaka huu,Tamasha hilo linatarajia kufanyika Oktoba 4.


KAMPUNI ya Msama Promotions imeandaa Tamasha kubwa la kihistoria ambalo halijawahi kufanyika nchini la kuiombea Tanzania inayoelekea katika uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25.
Kwa mujibu wa Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama...

 

10 years ago

Michuzi

MSAMA PROMOTIONS YAMWAGA MISAADA KWA VITUO SABA VYA WATOTO YATIMA JIJINI DAR KWA AJILI YA PASAKA

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Msama Promotion inayoandaa Tamasha la Pasaka Bw. Alex Msama akikabidhi vyakula mbalimbali kwa Bi. Honorata Michael kutoka kituo cha Honorata kilichopo Temeke jijini Dar es salaam ikiwa ni sehemu ya msaada kwa vituo vya watoto yatima jijini Dar es salaam vipatavyo saba, unaotolewa na kampuni hiyo katika wakati huu wa kuelekea sikukuu ya pasaka, vyakula hivyo vina thamani ya shilingi milioni 6
Tamasha la Pasaka  linatimiza miaka 15 toka lianzishwe hapa nchini,ambapo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Msama yaanika taratibu upigaji kura Tamasha la Pasaka 2014

KAMPUNI ya Msama Promotions imetangaza utaratibu utakaotumika kupiga kura kuchagua taratibu za ufanyikaji wa Tamasha la Pasaka la mwaka huu linalotarajiwa kuanza Aprili 20, mwaka huu. Kwa mujibu wa Makamu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani