Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msama yaanika taratibu upigaji kura Tamasha la Pasaka 2014

KAMPUNI ya Msama Promotions imetangaza utaratibu utakaotumika kupiga kura kuchagua taratibu za ufanyikaji wa Tamasha la Pasaka la mwaka huu linalotarajiwa kuanza Aprili 20, mwaka huu. Kwa mujibu wa Makamu...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Msama Promotions yatangaza Viingilio Tamasha la Pasaka

 Sehemu ya Umati wa watu uliohudhuria tamasha la pasaka mwaka jana katika uwanja wa Taifa.
KAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka, mwishoni mwa wiki iliyopita ilitangaza viingilio vya tamasha hilo litakalofanyika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, viti vya kawaida ni shilingi 5000 na watoto 2000.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi, Alex Msama viti maalum ni shilingi 20,000 wakati VIP  ni shilingi 10,000.Msama alisema hivi sasa wanaendelea na mchakato wa kufanikisha...

 

11 years ago

Michuzi

MSAMA PROMOTIONS YATANGAZA VITUO VYA KUUZIA TIKETI ZA TAMASHA LA PASAKA

 KAMATI ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka imetangaza vituo vitakavyouzwa tiketi kwa ajili ya tamasha hilo kwa mkoa wa Dar es Salaam.
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya tamasha hilo, Alex Msama tiketi hizo zitauzwa katika vituo vitano kwa lengo la kupunguza usumbufu kwa mashabiki wenye nia ya kushiriki tamasha hilo.
Msama alitaja vituo vitakavyouzwa tiketi hizo ni pamoja na Puma Mwenge na Uwanja wa Ndege, Best Bite Namanga, BM Kinondoni  na ofisi za Msama Promotions...

 

11 years ago

Michuzi

Kwetu Pazuri lapigiwa kura Tamasha la Pasaka


WAKATI zoezi la upigaji kura kwa waimbaji, mgeni rasmi na mikoa likiendelea, kundi la Ambassadors of Christ, ‘Kwetu Pazuri,’ limepigiwa kura na Watanzania  kwa ajili ya kushiriki kwenye Tamasha la Pasaka linalotarajia kuanza Aprili 20.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa Tamasha la Pasaka, Abihudi Mang’era, kundi hilo limeanza kupigiwa kura siku chache zilizopita wakati baadhi ya waimbaji wa Tanzania wakiongoza katika zoezi hilo. Akizungumza na Pata Habari,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

MCHAKATO KTMA 2014: Wadau wauvunjia ukimya mfumo mpya wa upigaji kura

MCHAKATO wa kupata wateule na washiriki wa Tuzo za Muziki za Kilimanjaro (KTMA) ungali umeshika kasi, huku wadau wa sanaa nchini wakiwa katika harakati chanya za kufanikisha wasanii, watayarishaji, bendi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani