Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kwetu Pazuri lapigiwa kura Tamasha la Pasaka


WAKATI zoezi la upigaji kura kwa waimbaji, mgeni rasmi na mikoa likiendelea, kundi la Ambassadors of Christ, ‘Kwetu Pazuri,’ limepigiwa kura na Watanzania  kwa ajili ya kushiriki kwenye Tamasha la Pasaka linalotarajia kuanza Aprili 20.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa Tamasha la Pasaka, Abihudi Mang’era, kundi hilo limeanza kupigiwa kura siku chache zilizopita wakati baadhi ya waimbaji wa Tanzania wakiongoza katika zoezi hilo. Akizungumza na Pata Habari,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Kundi la Kwetu Pazuri waitwa Dar es Salaam

Mashabiki wa Tamasha la Pasaka wamewaomba waandaaji wa tamasha hilo kulialika kundi la Ambassadors of Christ ‘Kwetu Pazuri’ kutoka Rwanda mwaka huu.

 

11 years ago

Michuzi

IDADI kubwa ya Wakazi wa jiji la Dar wawataka Kwetu Pazuri

IDADI kubwa ya Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wametoa ushauri kwa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka kulialika kundi la Ambassadors of Christ ‘Kwetu Pazuri’ katika tamasha la mwaka huu.  Wakazi hao walitoa tamko hilo hivi karibuni wakieleza kwamba kundi hilo ni kundi pendwa kwa mashabiki na wapenzi wa muziki wa Injili hapa nchini kwa sababu ya nyimbo zao kukonga nyoyo za mashabiki na wapenzi wengi zaidi. “Msama Promotions, watuletee Kwetu Pazuri, kwani ni kundi ambalo lina...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Msama yaanika taratibu upigaji kura Tamasha la Pasaka 2014

KAMPUNI ya Msama Promotions imetangaza utaratibu utakaotumika kupiga kura kuchagua taratibu za ufanyikaji wa Tamasha la Pasaka la mwaka huu linalotarajiwa kuanza Aprili 20, mwaka huu. Kwa mujibu wa Makamu...

 

11 years ago

Michuzi

KAPOTIVE STAR SINGERS-BUKOBA KUFANYA TAMASHA LA PASAKA LINA'S CLUB, PASAKA PILI NI KATIKA MJI WA BIHARAMULO

Kikundi mahiri cha KAPOTIVE Star Singers- Bukoba,Wanayo furaha kuwatangazia kuwa kwa mapenzi ya Mungu, Tar. 20/04/2014 sikukuu ya Pasaka watakuwa na tamasha la Pasaka LINA’S CLUB -Bukoba, kuanzia saa 9 mchana hadi 2 usiku na kesho yake tar. 21/04/2014 Watakuwa katika mji wa Biharamulo. 
 Mratibu wa Tamasha hilo Bw. Andrew Kagya amesema kuwa Mwimbaji mgeni (Guest singer) atakuwa Flora Mbasha na kundi lake zima kutoka jijini Dar es Salaam na pia Kutakuwepo kwaya mbalimbali za RC, KKKT na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tamasha la ‘Handeni Kwetu’ Desemba 13

TAMASHA kubwa la umataduni linalojulikana kama ‘Handeni Kwetu’ limepangwa kufanyika Desemba 13 mwaka huu, katika Uwanja wa Azimio, wilayani Handeni, mkoani Tanga. Katika tamasha hilo linalofanyika kwa mara pili, burudani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani