Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kundi la Kwetu Pazuri waitwa Dar es Salaam

Mashabiki wa Tamasha la Pasaka wamewaomba waandaaji wa tamasha hilo kulialika kundi la Ambassadors of Christ ‘Kwetu Pazuri’ kutoka Rwanda mwaka huu.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

IDADI kubwa ya Wakazi wa jiji la Dar wawataka Kwetu Pazuri

IDADI kubwa ya Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wametoa ushauri kwa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka kulialika kundi la Ambassadors of Christ ‘Kwetu Pazuri’ katika tamasha la mwaka huu.  Wakazi hao walitoa tamko hilo hivi karibuni wakieleza kwamba kundi hilo ni kundi pendwa kwa mashabiki na wapenzi wa muziki wa Injili hapa nchini kwa sababu ya nyimbo zao kukonga nyoyo za mashabiki na wapenzi wengi zaidi. “Msama Promotions, watuletee Kwetu Pazuri, kwani ni kundi ambalo lina...

 

11 years ago

Michuzi

Kwetu Pazuri lapigiwa kura Tamasha la Pasaka


WAKATI zoezi la upigaji kura kwa waimbaji, mgeni rasmi na mikoa likiendelea, kundi la Ambassadors of Christ, ‘Kwetu Pazuri,’ limepigiwa kura na Watanzania  kwa ajili ya kushiriki kwenye Tamasha la Pasaka linalotarajia kuanza Aprili 20.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa Tamasha la Pasaka, Abihudi Mang’era, kundi hilo limeanza kupigiwa kura siku chache zilizopita wakati baadhi ya waimbaji wa Tanzania wakiongoza katika zoezi hilo. Akizungumza na Pata Habari,...

 

5 years ago

Michuzi

KUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI JIJI LA DAR ES SALAAM

 Bei za matunda mbalimbali katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam kama zinavyoonekana katika picha.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)



 

5 years ago

Michuzi

KUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI YA JIJI LA DAR ES SALAAM KATIKA SUALA ZIMA LA KUPAMBANA NA CORONA


Wananchi wa jiji la Dar es Salaam wakinawa mikono katika kituo Daladala  Mbezi Luis wilaya ya Ubungo  leo kabla ya kuingia ndani ya daladala  ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona kama inavyoonekana pichani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
 Wananchi wa jiji la Dar es Salaam leo wakinawa mikono katika kituo cha daladala  Mbagala   rangi Tatu wilaya ya Temeke kabla ya kuingia ndani ya daladala  ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona kama inavyoonekana...

 

10 years ago

GPL

KIVUKO KIPYA (MV DAR ES SALAAM) KITAKACHOTOA HUDUMA KATI YA MWAMBAO WA BAHARI YA HINDI (DAR ES SALAAM NA BAGAMOYO) CHAKAMILIKA

PICHANI JUU: Taswira mbalimbali zikionyesha Kivuko cha MV.Dar es Salaam kikiwa kimeshushwa majini jana tayari kwa kuanza safari ya kuja Tanzania kutokea nchini…

 

10 years ago

Vijimambo

MGOMBEA URAIS KUPITIA CCM DR. JOHN POMBE MAGUFULI AWASILI JIJINI DAR ES SALAAM NA AJITAMBULISHA KWA WANA DAR ES SALAAM

????????????????????????????????????Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia CCM Dr. John Pombe Magufuli pamoja na Mgombea Mwenza Mama Samia Suluhu wakishuka kwenye ndege mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Ndege wa Mwalimu J.K.Nyerere na kulakiwa na viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali Mkoa wa Dar es salaam, Ambapo baadae Wagombea hao walitambulishwa kwenye mkutano mkubwa wa Hadhara katika viwanja vya Zakhem Mbagala jijini Dar es salaam.Magufuli amekishukuru chama cha Mapinduzi na watanzania kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani