Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI YA JIJI LA DAR ES SALAAM KATIKA SUALA ZIMA LA KUPAMBANA NA CORONA


Wananchi wa jiji la Dar es Salaam wakinawa mikono katika kituo Daladala  Mbezi Luis wilaya ya Ubungo  leo kabla ya kuingia ndani ya daladala  ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona kama inavyoonekana pichani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
 Wananchi wa jiji la Dar es Salaam leo wakinawa mikono katika kituo cha daladala  Mbagala   rangi Tatu wilaya ya Temeke kabla ya kuingia ndani ya daladala  ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona kama inavyoonekana...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI JIJI LA DAR ES SALAAM

 Bei za matunda mbalimbali katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam kama zinavyoonekana katika picha.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)



 

5 years ago

Michuzi

KATIKA SUALA ZIMA LA KUPAMBANA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA CORONA

  Baadhi ya waandishi wa habari wakipimwa kiwango cha joto katika jitihada za kukabiliana na virusi vya Corona(COVID-19) na Dauson Benastus Kutoka kampuni ya ulinzi ya  kindai wakati wanahabari hao wakiwa kwenye majukumu yao ya kikazi leo March 23, 2020.(Picha zote,Emmanuel Massaka,Michuzi TV)

 

5 years ago

Michuzi

KUTOKA MTAANI KWETU NDANI YA JIJI

 Bei za mchele katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam  kamainavyoonekana katika picha.Bei za bidhaa mbalimbali katika maeneo mbalimbali ya jiji laDar es Salaam, kamazinavyo onekana katika picha.
(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)Baadhi ya wananchi wa jiji la Dar es Salaam wakinunu mahitaji yao mbalimbali katika duka la vyakula kamainavyo onekana pichani. (Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)

 

5 years ago

Michuzi

KUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI YA POSTA


 Majasiriamali akiuza vitafunwa mbalimbali katika kituo cha mabasi cha Posta mpya wilaya ya Ilala  Jijini Dar es Salaam kama anavyoonekana pichani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv) Chapati na Maharage Mjasiriamali akiwa kazni kama anavyoonekana pichani.

 

5 years ago

Michuzi

KUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI YA MAKUMBUSHO

Konda wa daladala ya Makumbusho Gerezani akihakikisha abilia wote wamepata vitakasa mikono kabla ya kuingia ndani ya daladala hiyo  ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona kama inavyoonekana pichani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv) Baadhi ya wananchi wa jiji la Dar es salaam leo wakiwa katika Kituo cha daladala Makumbusho kuelekea maeneo mbalimbali huku wakiwa wamevaa Barakoa kwa ajili ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona.Wananchi wa jiji Dar es salaam leo...

 

5 years ago

Michuzi

KUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI KIGAMBONI

Baadhi ya nyumba zilizopo mtaa wa Chadigwa wilaya ya Kigamboni  jijini Dar es Salaam ambazo wakazi wake huwa katika wakatimgumu na hasa nyakati hizi za mvua, zikiwa zimezingirwa na maji kama inavyonekana picha kutokana na ujenzi usio na mpangilio katika eneo hilo,(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)

 

5 years ago

Michuzi

KUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI YA KIGAMBONI

 Mjasiriamali akiuza vitafunwa mbalimbali katika kituo kikuu  cha mabasi  Feri  wilaya ya Kigamboni Jijini Dar es Salaam kama anavyoonekana pichani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv) Mjasiriamali akiandaa  Chapati kama anayoonekana pichani  Mjasiriamali akindaa vifaa vyake baada ya kulalizi vitafunwa.              Majasiriamali wakiendelea na kazi kamainavyo onekana pichani.

 

5 years ago

Michuzi

KUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI YA KWEMBE LUGURUNI

Munonekano wa Barabara ya Morogoro katika eneo la Kwembe Luguruni wilaya ya Ubungo jijini Da es Salaam ujenzi wa barabara hiyo unaendelea kwa kasi.Ujenzi wa barabara ya Morogoro katika eneo la Kwembe Luguruni wilaya ya Ubungo ukiendelea kwa kasi kama inavyoonekana kwenye picha.
Mafundi wa wakiendelea na kazi za ujenzi wa barabara wa Morogoro katika eneo la Kwembe Luguruni wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam kama wanayoonekana katika picha.(Picha zote na Emmanuel Massaka)

 

5 years ago

Michuzi

KUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI YA MWANDEGE,MKURANGA

 Lori la Mchanga lililokuwa likielekea Mkuranga limegongana uso kwa uso na daladala linalofanya safari zake Temeke kuelekea Kisemvule katika kijiji cha Mwandege  wilaya ya  Mkuranga mkoa Pwani.
Kwa taarifa za awali zinaeleza kuwa chanzo cha ajali ni dereva wa daladala aliyekuwa akijaribu kulipita Lori hilo la mchanga ndipo akaangukia pembezoni mwa msitu wa hifadhi ya Vikindu, ambapo inadaiwa kuwa dereva wa lori aliyejulikana kwa jina moja la Kinje hali yake si nzuri na amekimbizwa hospitali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani