KUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI YA KWEMBE LUGURUNI
Munonekano wa Barabara ya Morogoro katika eneo la Kwembe Luguruni wilaya ya Ubungo jijini Da es Salaam ujenzi wa barabara hiyo unaendelea kwa kasi.Ujenzi wa barabara ya Morogoro katika eneo la Kwembe Luguruni wilaya ya Ubungo ukiendelea kwa kasi kama inavyoonekana kwenye picha.
Mafundi wa wakiendelea na kazi za ujenzi wa barabara wa Morogoro katika eneo la Kwembe Luguruni wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam kama wanayoonekana katika picha.(Picha zote na Emmanuel Massaka)
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
MichuziKUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI KIGAMBONI
Baadhi ya nyumba zilizopo mtaa wa Chadigwa wilaya ya Kigamboni jijini Dar es Salaam ambazo wakazi wake huwa katika wakatimgumu na hasa nyakati hizi za mvua, zikiwa zimezingirwa na maji kama inavyonekana picha kutokana na ujenzi usio na mpangilio katika eneo hilo,(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
5 years ago
MichuziKUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI YA MAKUMBUSHO
Konda wa daladala ya Makumbusho Gerezani akihakikisha abilia wote wamepata vitakasa mikono kabla ya kuingia ndani ya daladala hiyo ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona kama inavyoonekana pichani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv) Baadhi ya wananchi wa jiji la Dar es salaam leo wakiwa katika Kituo cha daladala Makumbusho kuelekea maeneo mbalimbali huku wakiwa wamevaa Barakoa kwa ajili ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona.Wananchi wa jiji Dar es salaam leo...
5 years ago
MichuziKUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI YA POSTA
Majasiriamali akiuza vitafunwa mbalimbali katika kituo cha mabasi cha Posta mpya wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam kama anavyoonekana pichani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv) Chapati na Maharage Mjasiriamali akiwa kazni kama anavyoonekana pichani.
5 years ago
MichuziKUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI YA KIGAMBONI
Mjasiriamali akiuza vitafunwa mbalimbali katika kituo kikuu cha mabasi Feri wilaya ya Kigamboni Jijini Dar es Salaam kama anavyoonekana pichani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv) Mjasiriamali akiandaa Chapati kama anayoonekana pichani Mjasiriamali akindaa vifaa vyake baada ya kulalizi vitafunwa. Majasiriamali wakiendelea na kazi kamainavyo onekana pichani.
5 years ago
MichuziKUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI YA MWANDEGE,MKURANGA
Lori la Mchanga lililokuwa likielekea Mkuranga limegongana uso kwa uso na daladala linalofanya safari zake Temeke kuelekea Kisemvule katika kijiji cha Mwandege wilaya ya Mkuranga mkoa Pwani.
Kwa taarifa za awali zinaeleza kuwa chanzo cha ajali ni dereva wa daladala aliyekuwa akijaribu kulipita Lori hilo la mchanga ndipo akaangukia pembezoni mwa msitu wa hifadhi ya Vikindu, ambapo inadaiwa kuwa dereva wa lori aliyejulikana kwa jina moja la Kinje hali yake si nzuri na amekimbizwa hospitali.
Kwa taarifa za awali zinaeleza kuwa chanzo cha ajali ni dereva wa daladala aliyekuwa akijaribu kulipita Lori hilo la mchanga ndipo akaangukia pembezoni mwa msitu wa hifadhi ya Vikindu, ambapo inadaiwa kuwa dereva wa lori aliyejulikana kwa jina moja la Kinje hali yake si nzuri na amekimbizwa hospitali.
5 years ago
MichuziKUTOKA MTAANI KWETU LEO CHADIGWA NDANI KIGAMBONI
Moja kati ya nyumba zilizopo mtaa wa Chadigwa wilaya ya Kigamboni jijini Dar es Salaam ambazo wakazi wake hupatwa na wakati mgumu na hasa nyakati hizi za mvua zinazoendelea kunyesha jijini,zikiwa zimezungukwa na maji kama inavyonekana pichani kutokana na ujenzi usio na mpangilio katika eneo hilo,lakini pia mkusanyiko wa maji hayo huweza kusababisha magonjwa ya mlipuko.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv).
5 years ago
MichuziKUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI JIJI LA DAR ES SALAAM
Bei za matunda mbalimbali katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es Salaam kama zinavyoonekana katika picha.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
5 years ago
MichuziKUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI YA SIMU 2000,UBUNGO
Wajasirimali katika Soko la Mahindi mabichi Simu 2000 wilaya ya Ubungo wakichagua mahidi kwaajili ya kwenda kuuza sehmu mbalimbali za jiji la Dar es Salaam,ambapo Hindi moja huuzwa kati ya shiling 150 mpaka ,300,(Picha zote Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Malori ya Mahindi yakishusha bidhaa hiyo sokoni katika soko la Simu 2000 wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam. Wachuuzi wa Samaki wakisubiri wakiendelea na kazi zao kama inavyo onekana pichani(Picha zote na Emmanuel Massaka wa Michuzi...
Malori ya Mahindi yakishusha bidhaa hiyo sokoni katika soko la Simu 2000 wilaya ya Ubungo jijini Dar es Salaam. Wachuuzi wa Samaki wakisubiri wakiendelea na kazi zao kama inavyo onekana pichani(Picha zote na Emmanuel Massaka wa Michuzi...
5 years ago
MichuziKUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI YA JIJI LA DAR ES SALAAM KATIKA SUALA ZIMA LA KUPAMBANA NA CORONA
Wananchi wa jiji la Dar es Salaam wakinawa mikono katika kituo Daladala Mbezi Luis wilaya ya Ubungo leo kabla ya kuingia ndani ya daladala ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona kama inavyoonekana pichani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
Wananchi wa jiji la Dar es Salaam leo wakinawa mikono katika kituo cha daladala Mbagala rangi Tatu wilaya ya Temeke kabla ya kuingia ndani ya daladala ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona kama inavyoonekana...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10