Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KATIKA SUALA ZIMA LA KUPAMBANA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA CORONA

  Baadhi ya waandishi wa habari wakipimwa kiwango cha joto katika jitihada za kukabiliana na virusi vya Corona(COVID-19) na Dauson Benastus Kutoka kampuni ya ulinzi ya  kindai wakati wanahabari hao wakiwa kwenye majukumu yao ya kikazi leo March 23, 2020.(Picha zote,Emmanuel Massaka,Michuzi TV)

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

KUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI YA JIJI LA DAR ES SALAAM KATIKA SUALA ZIMA LA KUPAMBANA NA CORONA


Wananchi wa jiji la Dar es Salaam wakinawa mikono katika kituo Daladala  Mbezi Luis wilaya ya Ubungo  leo kabla ya kuingia ndani ya daladala  ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona kama inavyoonekana pichani.(Picha na Emmanuel Massaka wa Michuzi Tv)
 Wananchi wa jiji la Dar es Salaam leo wakinawa mikono katika kituo cha daladala  Mbagala   rangi Tatu wilaya ya Temeke kabla ya kuingia ndani ya daladala  ili kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona kama inavyoonekana...

 

5 years ago

Michuzi

CHAMA CHA CUF CHAUNGA MKONO MAAMUZI YA SERIKALI KUPAMBANA NA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA CORONA (COVID-19) NCHINI

CUF- Chama Cha Wananchi kinapenda kuunga mkono Maamuzi ya Serikali ya kutangaza kuendelea kufungwa kwa Shule na Vyuo vya Elimu ya Juu pamoja na kuendelea kusimamisha mikusanyiko ya shughuli za Michezo katika kupambana na kuenea kwa  Maambukizi ya COVID-19.  CUF-Chama Cha Wananchi kinaunga mkono pia Uamuzi wa kufuta Sherehe za Muungano na Mei Mosi kwa mwaka huu na pia Maamuzi ya kuelekeza Shilingi Milioni 500 zilizopangwa zitumike kwenye Sherehe za Muungano, kwenye Mfuko wa Kupambana na...

 

5 years ago

CCM Blog

MWONGOZO WA UDHIBITI WA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA (CORONA COVID-19) KATIKA SHULE, VYUO NA TAASISI ZA ELIMU NCHINI


Kufuatia Mlipuko wa Ugonjwa wa Homa kali ya Mapafu inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19) uliripotiwa kwa mara ya kwanza hapa nchini tarehe 16 Machi, 2020, Serikali ilichukua hatua mbalimbali kwa ajili ya kudhibiti kuenea kwa ugonjwa huu nchini. 
Hatua zilizochukuliwa ni pamoja na kufunga shule zote za Awali, Msingi, Sekondari, Vyuo na taasisi za elimu nchini. Kutokana na takwimu za mwenendo wa ugonjwa huu nchini kwa sasa kuonyesha kupungua kwa maambukizi ya Virusi vya Corona, mnamo...

 

5 years ago

Michuzi

KATIKA KUPAMBANA NA MAAMBUKIZI YA CORONA CCM YAZINDUA USHONAJI WA BARAKOA CHUO CHA IHEMI MJINI IRINGA,YARAHISISHA UPATIKANAJI WAKE

Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wanawake wa CCM Tanzania (UWT) Mama Queen Mlozi, amezindua ushonaji wa Barakoa (Mask) katika Chuo cha Mafunzo Ihemi cha CCM Mkoani Iringa.

Mama Queen Mlozi amefanya Uzinduzi huo leo tarehe 25 Aprili, 2020 akimuwakilisha Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally.

Katibu Mkuu wa UWT, akizundua utengenezaji huo wa Barakoa, ameeleza kuwa, "CCM imeamua kutengeneza barakoa kwa bei nafuu, kulinganisha na bei za maeneo mengine ili kutoa huduma na kuwasaidia wananchi kujikinga na...

 

5 years ago

Michuzi

COSTECH KUSIMAMIA RUZUKU YA KUPAMBANA NA UGONJWA CORONA (COVID-19)

RUZUKU ya zaidi ya shilingi bilioni 2 kusimamiwa na  Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia ya Tanzania (COSTECH) ili kufanikisha Uchunguzi, Kinga na Tiba ya ugonjwa wa Corona (COVID-19).
Hayo yamesemw na Mkurugenzi Mkuu wa  Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia ya Tanzania (COSTECH), Dk.Amos Nungu wakati akizungumza na waandishi wa habari kupitia mtandao wa video leo. Amesema kuwa uratibu wa fedha hizo ni sehemu ya majukumu ya Tume  hiyo ikiwa ni pamoja na  kutafuta rasilimali fedha...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani