Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


COSTECH KUSIMAMIA RUZUKU YA KUPAMBANA NA UGONJWA CORONA (COVID-19)

RUZUKU ya zaidi ya shilingi bilioni 2 kusimamiwa na  Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia ya Tanzania (COSTECH) ili kufanikisha Uchunguzi, Kinga na Tiba ya ugonjwa wa Corona (COVID-19).
Hayo yamesemw na Mkurugenzi Mkuu wa  Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia ya Tanzania (COSTECH), Dk.Amos Nungu wakati akizungumza na waandishi wa habari kupitia mtandao wa video leo. Amesema kuwa uratibu wa fedha hizo ni sehemu ya majukumu ya Tume  hiyo ikiwa ni pamoja na  kutafuta rasilimali fedha...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

CHAMA CHA CUF CHAUNGA MKONO MAAMUZI YA SERIKALI KUPAMBANA NA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA CORONA (COVID-19) NCHINI

CUF- Chama Cha Wananchi kinapenda kuunga mkono Maamuzi ya Serikali ya kutangaza kuendelea kufungwa kwa Shule na Vyuo vya Elimu ya Juu pamoja na kuendelea kusimamisha mikusanyiko ya shughuli za Michezo katika kupambana na kuenea kwa  Maambukizi ya COVID-19.  CUF-Chama Cha Wananchi kinaunga mkono pia Uamuzi wa kufuta Sherehe za Muungano na Mei Mosi kwa mwaka huu na pia Maamuzi ya kuelekeza Shilingi Milioni 500 zilizopangwa zitumike kwenye Sherehe za Muungano, kwenye Mfuko wa Kupambana na...

 

5 years ago

Michuzi

KATIKA SUALA ZIMA LA KUPAMBANA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA CORONA

  Baadhi ya waandishi wa habari wakipimwa kiwango cha joto katika jitihada za kukabiliana na virusi vya Corona(COVID-19) na Dauson Benastus Kutoka kampuni ya ulinzi ya  kindai wakati wanahabari hao wakiwa kwenye majukumu yao ya kikazi leo March 23, 2020.(Picha zote,Emmanuel Massaka,Michuzi TV)

 

5 years ago

Michuzi

MDAHALO WA KIMATAIFA WA KUPAMBANA NA UGONJWA WA CORONA WAENDESHWA NA TAGLA KWA NJIA YA VIDEO

MDAHALO wa kimataifa umeendeshwa na Wakala ya Mafunzo kwa nia ya Mtandao (TaGLA) ikishirikisha nchi za Korea ya Kusini, Sri Lanka, Thailand, Japan na Shirika la Afya Duniani. Wawasilisha mada walisisitiza muhimu wa kuwatafuta, kuwatenga, kufanyia uchambuzi wa haraka na kutibu kila mgonjwa atakaepatikana. Juhudi hizo zimguse kila mtu, kila familia, jamii na kitaifa ili kuleta ufanisi kutokomeza janga hili la ugonjwa wa corona. Washiriki kutoka Tanzania walikuwa madaktari, wasomi, viongozi,...

 

5 years ago

Michuzi

JUMUIYA YA MABOHORA YAENDELEA KUPELEKA MISAADA HOSTELI YA MAGUFULI KUPAMBANA NA UGONJWA WA CORONA

April 12 ,2020  Jumuiya ya MABOHORA Dsm, imeendelea kupeleka vifaa muhimu Magufuli Hostel kuendelea kusaidia Juhudi ya COVID 19 RESPONSE TEAM kupambana na janga la CORONA VIRUS. Inshallah mungu atusaidie wote kuendelea kadiri ya uwezo wetu kusaidia Serekali yetu na Nchi yetu kupambana na kuishinda hiyo CORONA VIRUS. Ameen


 

5 years ago

Michuzi

Vodacom Tanzania PLC yakabidhi vifaa vyenye thamani ya shilingi milioni 300 kwa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kupambana na ugonjwa wa Covid-19


 Mkurugenzi Mkuu wa Vodacom Tanzania PLC, Hisham Hendi (kulia) akipunga  mkono kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi (haonekani pichani) wakati akikabidhi kiasi cha shilingi milioni 300 kwa serikali ya Mapinduzi Zanzibar zilizotolewa na kampuni ya Vodacom leo ili kupambana na kudhibiti ongezeko la virusi vya Corona visiwani humo, ambapo walifanya makabidhiano kwa njia ya mtandao. Pembeni ni Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania Foundation, Rosalynn...

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Kijiji kilicho Afrika Kusini chajiandaa kupambana na Covid-19

Kijiji kisicho na mgonjwa wa corona kinavyojiandaa kukabiliana na ugonjwa huo huku kikikabiliwa na changamoto ukosefu wa maji

 

5 years ago

Michuzi

WAANDISHI WA HABARI ARUSHA WAASWA KUONGEZA TAHADHARI YA UGONJWA WA CORONA (COVID-19).


Mratibu wa mtandao Habari za jamii za pembezoni(MAIPAC) Mussa Juma akiwa na Mkurugenzi wa taasisi ya CILAO, Odero Charles wakimkabidhi mwenyekiti wa chama cha waandishi wa habari mkoa Arusha,Claude Gwandu vifaa kinga dhidi ya Corona kwa waandishi wa habari lakini pia muongozo wa kufanyakazi kwa tahadhari kwa vyombo vya habari.

Na Vero Ignatus Arusha.

Waandishi wa habari mkoa wa Arusha, wametakiwa kuongeza tahadhari za kiafya katika kujikinga na maambukizi ya Covid -19 kwa kufuata maelekezo...

 

5 years ago

Michuzi

TUJIKINGE,TUJILINDE NA TUWALNDE WENGINE DHIDI YA MAAMBUKIZI YA UGONJWA CORONA (COVID-19).

Wakati serikali ikihamasisha suala la usafi hasa kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni sambamba na uvaaji wa Barakoa (Mask),Lakini bado baadhi ya wananchi  hawalichukulii kwa uzito suala hilo ili kupambana na maambuzi ya ugonjwa wa Corona unaosababishwa na virusi vya COVID 19. Pichani ni waendesha pikipiki almaarufu Bodaboda wakiosha pikipiki zao katika dimbwi la maji lililopo Mtaa wa Majengo - Mbezi kwa Msuguli,hali ambayo inanahatarisha usalama wa afya zao na Wengine. Picha na Cathbert...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani