Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Virusi vya corona: Kijiji kilicho Afrika Kusini chajiandaa kupambana na Covid-19

Kijiji kisicho na mgonjwa wa corona kinavyojiandaa kukabiliana na ugonjwa huo huku kikikabiliwa na changamoto ukosefu wa maji

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Jinsi viongozi wa Afrika wanavyojikata mishahara kupambana na corona

Rais wa Rwanda na serikali yake aungana na wazo la rais wa Kenya na Malawi kutaka mishahara yao kukatwa ikiwa ni jitihada za kukabiliana na ugonjwa wa corona.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Je msaada wa Jack Ma Afrika una umuhimu gani katika kupambana na janga la corona?

Huku mlipuko wa virusi vya corona ukiendelea kuathiri sekta zote duniani mataifa mengi yameshindwa kupata jibu la kukabiliana na janga hilo.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Jinsi ‘mazishi ya kisiri’ Afrika Kusini huenda ikasaidia kukabiliana na corona

Hatua ya Afrika Kusini kupiga marufuku mikusanyiko mikubwa ya watu mazishini imesaidia kuvumbuliwa tenda kwa tamaduni za jadi.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Sudan Kusini yathibitisha kuwa na mgonjwa wa COVID-19

Rais wa Sudan Kusini Dk. Riek Machar anazungumza na waandishi wa habari mjini Juba .

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Simba sasa wanapumzika barabarani Afrika Kusini

Katika moja ya hifadhi kubwa ya wanyama pori barani Afrika simba wameamua kuchukua fursa iliyotolewa na mbinu za kukabiliana na maambukizi ya corona kujipumzisha barabarani.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Changamoto za wanakijiji Afrika Kusini wanaokabilwa na maambukizi

Kijiji kimoja Afrika kusini chajitahidi kukabiliana na corona licha ya umaskini

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya Corona: Mfahamu mwanamke aliyebaini virusi vya corona kabla ya Covid-19

June Almeida alikuwa bingwa wa ugunduzi wa virusi, lakini alikuwa amesahaulika mpaka mlipuko wa corona ulipoibuka ndio akakumbukwa.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Rwanda na Afrika Kusini kulegeza marufuku ya kutotoka nje

Serikali ya Rwanda imepunguza ukali wa masharti iliyoweka kama hatua za kuzuia maambukizi ya virusi vya corona tangu wiki sita zilizopita.

 

5 years ago

BBCSwahili

Virusi vya corona: Magenge ya uhalifu yaamua kuweka silaha kando Afrika Kusini

Jinsi virusi vya corona vilivyoshinikiza usitishwaji wa vita kati ya magenge hasimu ya uhalifu Afrika Kusini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani