Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WARAKA WA SPIKA KUHUSU NJIA ZITAKAZOTUMIWA NA BUNGE KATIKA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA CORONA


Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

PICHA MBALIMBALI ZIKIMUONESHA WAZIRI SIMBACHAWENE AKINAWA MIKONO KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA CORONA



 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, George Simbachawene akinawa mikono kwa maji maalumu yaliyowekwa dawa   alipotembelea Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Mpwapwa,mkoani Dodoma ikiwa ni kufuata maelekezo yaliyotolewa na wataalamu wa afya katika kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa homa ya mapafu unaosababishwa na virusi vya Covid-19.Picha na Wizara ya Mambo ya...

 

5 years ago

Michuzi

SPIKA JOB NDUGAI AKABIDHIWA MASHINE MAALUM YA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA JIJINI DODOMA


Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akipita katika mashine maalum yenye dawa ya kunyunyiza ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona iliyowekwa  geti B la kuingia katika Ofisi ya Bunge Jijini Dodoma. Mashine hiyo itatumiwa na Waheshimiwa Wabunge, Watumishi wa Ofisi ya Bunge na Wageni maalum watakaotembelea BungeNaibu Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akipita katika mashine maalum yenye dawa ya kunyunyiza ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona iliyowekwa geti B la ...

 

5 years ago

Michuzi

BENKI YA NMB YAKABIDHI MSAADA WA VIFAA VYA KUNAWA MIKONO MKOA WA SINGIDA KUJIKINGA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA CORONA

Meneja wa NMB Kanda Kati, Nsolo Mlozi (wapili kushoto) pamoja na Meneja wa NMB Tawi wa Singida - Willy Mponzi (kushoto), wamekabidhi Mkuu wa Mkoa wa Singida Dk. Rehema Nchimbi (kulia) msaada wa vifaa vya kunawa mikono ili kujikinga na maambukizi ya ugonjwa wa homa ya corona, kwa ajili ya kugawa kwenye taasisi mkoani hamo.

 

5 years ago

Michuzi

USHAURI KWA WANAHABARI KUHUSU KUCHUKUA TAHADHARI ZAIDI KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA CORONA


 Siku ya Ijumaa Aprili 10, 2020 Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto ilitoa taarifa kwa umma juu ya mwenendo wa ugonjwa wa corona nchini. Katika taarifa hiyo Waziri wa afya alieleza idadi ya watu waliothibitishwa kupata maambukizi ya COVID-19 nchini kuwa ni 32. Kati ya hao, wagonjwa 24 wanaendelea na matibabu, watano wamepona na uwepo wa vifo vya wagonjwa watatu tangu ugonjwa huu ulipoingia nchini.
Tunatoa pole kwa ndugu, jamaa na familia za waliopoteza ndugu zao...

 

5 years ago

Michuzi

KATIKA SUALA ZIMA LA KUPAMBANA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA CORONA

  Baadhi ya waandishi wa habari wakipimwa kiwango cha joto katika jitihada za kukabiliana na virusi vya Corona(COVID-19) na Dauson Benastus Kutoka kampuni ya ulinzi ya  kindai wakati wanahabari hao wakiwa kwenye majukumu yao ya kikazi leo March 23, 2020.(Picha zote,Emmanuel Massaka,Michuzi TV)

 

5 years ago

CCM Blog

MWONGOZO WA UDHIBITI WA MAAMBUKIZI YA UGONJWA WA (CORONA COVID-19) KATIKA SHULE, VYUO NA TAASISI ZA ELIMU NCHINI


Kufuatia Mlipuko wa Ugonjwa wa Homa kali ya Mapafu inayosababishwa na Virusi vya Corona (COVID-19) uliripotiwa kwa mara ya kwanza hapa nchini tarehe 16 Machi, 2020, Serikali ilichukua hatua mbalimbali kwa ajili ya kudhibiti kuenea kwa ugonjwa huu nchini. 
Hatua zilizochukuliwa ni pamoja na kufunga shule zote za Awali, Msingi, Sekondari, Vyuo na taasisi za elimu nchini. Kutokana na takwimu za mwenendo wa ugonjwa huu nchini kwa sasa kuonyesha kupungua kwa maambukizi ya Virusi vya Corona, mnamo...

 

5 years ago

Michuzi

WAFANYAKAZI WA TTB WAPATA MAFUNZO YA KUJIKINGA NA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA CORONA NA UKIMWI

 Dkt. Grarvin Kweka wa Hospitali  ya Taifa ya Muhimbili akionesha namna ya kutumia vitakasa mikono kwa wafanyakazi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) juu ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona (Covid 19) wakati wa mafunzo yaliyoandaliwa na kufanyika katika ofisi za Bodi hiyo Jijini Dar es Salaam.
Dkt. Grarvin Kweka wa Hospitali  ya Taifa ya Muhimbili akitoa mada ya namna ya kujikinga na virusi vya Corona kwa  wafanyakazi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) juu ya kujikinga na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani