IDADI kubwa ya Wakazi wa jiji la Dar wawataka Kwetu Pazuri
IDADI kubwa ya Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wametoa ushauri kwa Kamati ya Maandalizi ya Tamasha la Pasaka kulialika kundi la Ambassadors of Christ ‘Kwetu Pazuri’ katika tamasha la mwaka huu. Wakazi hao walitoa tamko hilo hivi karibuni wakieleza kwamba kundi hilo ni kundi pendwa kwa mashabiki na wapenzi wa muziki wa Injili hapa nchini kwa sababu ya nyimbo zao kukonga nyoyo za mashabiki na wapenzi wengi zaidi. “Msama Promotions, watuletee Kwetu Pazuri, kwani ni kundi ambalo lina...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi23 Feb
Kundi la Kwetu Pazuri waitwa Dar es Salaam
11 years ago
Michuzi05 Mar
Kwetu Pazuri lapigiwa kura Tamasha la Pasaka
WAKATI zoezi la upigaji kura kwa waimbaji, mgeni rasmi na mikoa likiendelea, kundi la Ambassadors of Christ, ‘Kwetu Pazuri,’ limepigiwa kura na Watanzania kwa ajili ya kushiriki kwenye Tamasha la Pasaka linalotarajia kuanza Aprili 20.
Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa na Makamu Mwenyekiti wa Tamasha la Pasaka, Abihudi Mang’era, kundi hilo limeanza kupigiwa kura siku chache zilizopita wakati baadhi ya waimbaji wa Tanzania wakiongoza katika zoezi hilo. Akizungumza na Pata Habari,...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-iGLdBNXukAg/Xmjkn0oEomI/AAAAAAAAGrw/MSia9oopMpwP4C8y8KiWoV__xZ9RDhZ1QCLcBGAsYHQ/s72-c/20191119_111447.jpg)
KUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI JIJI LA DAR ES SALAAM
![](https://1.bp.blogspot.com/-iGLdBNXukAg/Xmjkn0oEomI/AAAAAAAAGrw/MSia9oopMpwP4C8y8KiWoV__xZ9RDhZ1QCLcBGAsYHQ/s640/20191119_111447.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-hZhvzuySw8Y/XmjknAel7qI/AAAAAAAAGrs/o4zPsHCIJVU8lKp9PYdJoqxbkEAgfJlKACLcBGAsYHQ/s640/20191119_111610.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-nta7cDPM30c/XmjkkQX4thI/AAAAAAAAGro/qpz5YAW-i3w8LymTwLfwvWTux32nKhu-ACLcBGAsYHQ/s640/20191119_111838.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-5DOW0NlQKu8/XmjkxImEGDI/AAAAAAAAGr0/O96abb4wcrMyIYEfp3eEA9VuX0LDkrKNgCLcBGAsYHQ/s640/20191119_111940.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-eFnOMj4-1Z8/XmjkyKnt9sI/AAAAAAAAGr4/32zKS4VBJXovjMPao1HNDiO1vXrDqBlXgCLcBGAsYHQ/s640/20191119_112249.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-t3jAnO9KF2A/XqhD2pFLqVI/AAAAAAAAHHk/7woE_LEhby0kTwMUvhYzuNkHE1Kg7A47ACLcBGAsYHQ/s72-c/20200403_111820.jpg)
KUTOKA MTAANI KWETU LEO NDANI YA JIJI LA DAR ES SALAAM KATIKA SUALA ZIMA LA KUPAMBANA NA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-t3jAnO9KF2A/XqhD2pFLqVI/AAAAAAAAHHk/7woE_LEhby0kTwMUvhYzuNkHE1Kg7A47ACLcBGAsYHQ/s640/20200403_111820.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-BpBZ8TloquY/XqhD2rHFWAI/AAAAAAAAHHg/VFtkZ4yqMhocJQWyz8anAHmRx8d5UE2SQCLcBGAsYHQ/s640/20200406_103356.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-QOfRIz7YodY/XqhBHeRug8I/AAAAAAAAHG4/A8-OObpCq7MHzrQQlUi5VeWr_-VH-Rw7gCLcBGAsYHQ/s640/20200425_083109.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-K90VNAlX0v0/XqhBHjOKMqI/AAAAAAAAHG8/SH22q_4ztOkDN74Lr-yJOtD6PU0_Z_KgQCLcBGAsYHQ/s640/20200425_083635.jpg)
![](https://1.bp.blogspot.com/-7G8ffZTCqAo/XqhBL9d5LyI/AAAAAAAAHHA/so3T8Drv0-gqWcH8eEXDdhmd0l0OaRSpwCLcBGAsYHQ/s640/20200425_084014.jpg)
10 years ago
Vijimambo29 Dec
MVUA KUBWA ‘YALILOWESHA’ JIJI LA DAR ES SALAAM
MTANDAO wetu leo umefanikiwa kuzunguka baadhi ya maeneo katika viunga vya jiji la Dar es Salaam na kujionea baadhi ya maeneo baada ya mvua kubwa ‘kuanguka’ katika jiji hili na maeneo ya jirani na kusababisha...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-ta_EnrsS8fA/UvccUMFKhvI/AAAAAAAFL4U/UIfwNLOGwpY/s72-c/unnamed+(28).jpg)
WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WATIMKA NA BODABODA
![](http://2.bp.blogspot.com/-ta_EnrsS8fA/UvccUMFKhvI/AAAAAAAFL4U/UIfwNLOGwpY/s1600/unnamed+(28).jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-zjSusBh9Ge8/UvccUU1D1tI/AAAAAAAFL4c/zptspmpe43s/s1600/unnamed+(29).jpg)
11 years ago
GPLWAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WATIMKA NA BODABODA
10 years ago
Vijimambo