MVUA YALETA ADHA KWA WAKAZI WA JIJI LA DAR
Vijimambo
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLADHA YA MVUA INAVYOWATESA WAKAZI WA JIJINI DAR
Bodaboda wakiwa kwenye foleni kusubiri abiria. Magari yakiwa ‘yameshonana’ kwenye foleni.…
11 years ago
MichuziWAKAZI WA MABOGINI MKOANI KILIMANJARO WAANZA KUPATA ADHA YA MVUA ZINAZONYESHA SASA
Sehemu ya makazi ya watu yakiwa yameingiliwa na maji.
Wazazi walilazimika kufanya kazi ya kuwavusha wanafunzi.
Maji yakiingia katika maeneo ya makazi ya watu katika eneo la Mabogini.
Wazazi walilazimika kuacha shughuli zao na kwenda kuwachukua watoto wao wasije chukuliwa na maji.
Wanafunzi wakijaribu kuvuka maji wakati wakitoka shuleni.
Mama akimsadia mtoto wake kuvuka maji katika eneo la Mabogini .
Mifugo ikipita katika maji yaliyokuwa yakitokea katika mashamba ya TPC.

GPLADHA YA MVUA JIJINI DAR
Baadhi ya wanafunzi wa Shule za Msingi zilizopo Kongowe, Mbagala wilayani Temeke jijini Dar wakijaribu kuvuka katika maji yaliyosababishwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha. (PICHA NA MDAU WA GLOBAL WHATSAPP 0753 715 779, KAMA UNA TUKIO KAMA ILI TUTUMIE KUPITIA NAMBA…
10 years ago
Michuzi06 Jan
11 years ago
GPLMVUA ZAANZA KUWAPA HOFU WAKAZI WA JIJI
Taswira za maji yakipita kwa kasi katika mto unaopita chini ya daraja la Ubungo, Dar. KAMERA yetu ilishuhudia mto unaopitisha maji chini ya daraja la Ubungo, ukiwa umejaa kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali ya jiji la Dar, hali inayowapa hofu wakazi wanaoishi karibu na mkondo huo wa maji. (Picha: Deogratius Mongela /… ...
11 years ago
GPLMVUA YASABABISHA KERO KWA WAKAZI WA JIJINI DAR
Dereva wa bodaboda na abiria wake wakipita katika njia iliyojaa maji. Maji yakitiririka kwa kasi katika katika mfereji mmoja uliopo Kijitonyama.…
10 years ago
GPLMVUA YAGEUKA KERO KUBWA KWA WAKAZI WA DAR
Soko la Mchikichini, Ilala-Boma linavyoonekana kufuatia mvua za sasa Maji yalivyotapakaa soka la Sinza Afrika-Sana. Wakazi wa Mwanayamala-Mkwajuni wakitoa maji katika nyumba zao.…
9 years ago
MichuziWAKAZI WA JIJI LA MWANZA WATAABIKA NA MAFURIKO KUTOKANA NA MVUA INAYOENDELEA KUNYESHA.
Miongoni mwa nyumba zilizopo Mtaa wa Kilimahewa Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza ambazo huathirika na kero ya Maji kuingia ndani pindi mvua zinapoanza kunyesha.
Pichani ni mmoja wa wakazi wa Kilimahewa akitoa maji ndani ya nyumba yake kutokana na mvua iliyoanza kunyesha majira ya saa kumi na mbili alfajiri hii leo. Hadi tunaenda hewani (saa 10:30 asubuhi) Mvua hiyo inaendelea kumiminika mdogomdogo.
Picha na Loyce NhalukeMbali na Kilimahewa, Pia wakazi wa Mabatini Jijini Mwanza hukumbwa na...

Dewji Blog18 Nov
Serikali khuduma ya maji kwa wakazi wa jiji la Dar es Salaam.
Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini kutoka Wizara ya Maji Bw. Athumani Sharif akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu mikakati ya Serikali kutatua tatizo la upatikanaji wa maji jijini Dar es Salaam mapema jana jijini Dar es Salaam, kushoto ni Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Habari (MAELEZO) Bi. Zamaradi Kawawa. (Picha na Fatma Salum.)
Na. Georgina Misama – Maelezo
[DAR ES SALAAM] Serikali inatarajia kuzalisha maji lita milioni 270 kwa siku baada...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania
Magazeti ya Leo
Zinazosomwa Sasa
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10