Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wizkid kuja Tanzania mwaka huu kwa mara ya kwanza

Mashabiki wa msanii kutoka Nigeria, Wizkid watarajie kumshuhudia staa huyo juu ya jukwaa la nyumbani. Wizkid anatarajia kuja Tanzania mwaka huu (2015) kwa mara ya kwanza. Wizkid Mwimbaji huyo wa ‘Show You The Money’ ameweka ratiba ya shows anazotarajia kuzifanya na Tanzania ni miongoni mwa nchi ambazo ziko kwenye ratiba hiyo. “Gambia ,London ,Tanzania ,Kenya, […]

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Bongo5

Mwana FA kutumbuiza kwa mara ya kwanza kwenye Fiesta mwaka huu mjini Singida

Baada ya kupagawisha wananchi wa Mbeya na shoo kali mwishoni mwa wiki iliyopita, tamasha la Serengeti Fiesta 2014 linaelekea Singida kukata kiu ya mashabiki wake ambao walikuwa wakilisubiri kwa hamu. Shoo hiyo iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu imepangwa kufanyika hapo October 3, katika uwanja wa Namfua. Wasanii watakaotumbuiza ni pamoja na Mwana FA, Nikki II, Makomando, […]

 

11 years ago

Bongo5

Davido kuja Tanzania kwa mara nyingine tena

Hitmaker wa ‘Skelewu’ Davido wa Nigeria anatarajia kuja nchini Tanzania kwa mara nyingine tena. Mwaka jana msanii huyo alikuwa miongoni mwa wasanii waliotumbuiza kwenye Serengeti Fiesta, jijini Dar es Salaam. Hata hivyo haijaweza kujulikana mapema iwapo atakuwepo pia kwenye Fiesta ya Dar mwaka huu. Kuna tetesi zingine kuwa kituo kingine kikubwa cha redio cha Dar […]

 

10 years ago

Dewji Blog

Maggid Mjengwa: John Komba Nilimwona Kwa Mara Ya Kwanza Mwaka 1981..

1743555_10203523962992463_4505766789552108218_n

Ndugu zangu,

Nimepokea kwa masikitiko habari za kifo cha ghafla cha msanii mhamasishaji John Komba.

Nilikuwa kijana mdogo sana nilipomwona kwa mara ya kwanza John Komba akitumbuiza ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa mwaka 1981.

Nilimwona John Komba na kikundi chake cha Kwaya ya JKT Mgulani. Alikuwa kijana mwembamba. Alikuwa mwanzoni kabisa mwa nyota yake kuanza kung’aa kuwarithi wasanii wahamasishaji wa tangu enzi za TANU, akina Mzee Makongoro na Chalamila.

Hata kwa masikio ya utotoni, nilimwona...

 

11 years ago

Michuzi

TAMASHA LA PASAKA KUJA KIVINGINE MWAKA HUU.

Tamasha la pasaka la Mwaka huu litakalozinduliwa rasmi April 20,jijini dar likibeba kaulimbiu ya "Tanzania kwanza haki huinua Taifa",litaemdendeshwa kwa namna ya Wadau wenyewe kuchagua waimbaji,aidha iwe kutoka ndani ama nje ya nchi ikiwemo sambamba na mgeni rasmi.


Hayo yalibainishwa jijini Dar,mwishoni mwa wiki na Mkurugenzi Mtendaji wa Msama Promotions,ambao ndio wandaaji wa tamasha.Alifafanua kuwa wapenzi wa muziki huo ndio watakaochagua waimbaji hao kwa kutuma ujumbe mfupi kupitia...

 

9 years ago

Michuzi

MKUTANO WA KUKUZA SEKTA YA UKARIMU NA UTALII HUFANYIKA KWA MARA YA PILI JIJINI DAR DISEMBA 7 NA 8 MWAKA HUU

INTERNATIONAL hospitality consultancy HD Partnership (HDP) kwa  kushirikiana na shirika la wamiliki wa Hoteli Tanzania (HAT), wanafanya mkutano wa awamu ya pili wa mwaka Disemba 7 na 8 mwaka huu jijini Dar es Salaam.

 Mkutano huu unahusu sekta ya ukarimu na utalii, Katika jukwaa hilo litategemea kuzungumzia ujumbe juu ya ukarimu kwa wadau wa sekta ya utalii wakiwemo wawekezaji, wamiliki wahoteli, kampuni za usimamizi, bidhaa, mashirika ya kiserikali na yasiyo ya kiserikali, wasambazaji na...

 

11 years ago

Dewji Blog

Tanzania yaingia kwa mara ya kwanza shindano la utunzaji wa mazingira duniani

1

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni, Injinia. Mussa Natty (kulia), akifungua semina kwa wafanyakazi wa Halmashauri hiyo Jijini Dar es Salaam kuhusiana na ueneaji wa hewa ukaa na matumizi sahihi ya nishati jadidifu nchini (kushoto), Mratibu wa Shirika Lisilokuwa la Kiserikali WWF.Bw, Asukile Kajuni.

2

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni,Injinia. Mussa Natty akiwa kwenye picha ya pamoja na wafanyakazi wa Halmashauri hiyo mara baada ya kufungua semina.(Habari picha...

 

10 years ago

Bongo Movies

PICHA:Kuwa Wakwanza Kuziona Picha za Kwanza za Lulu Kwa Mwaka Huu

Mrembo na mwigizaji  wa filamu hapa Bongo, Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametupia picha hizi mtandandaoni ikiwa ni kwa mara ya kwanza kwa mwaka huu kwa mwanadada huyu kufanya  “Professional Photo Shoots” chini ya manifester brand.

Jionee hapo juu picha za mrembo huyu alizopigwa akiwa maendo ya gereji.

Wengi wamezipenda, wewe je?

 

10 years ago

BBCSwahili

Kano wapokea mwaka mpya mara ya kwanza

Nchini Nigeria kwa mara ya kwanza mafataki yalirushwa kupokea mwaka mpya kaskazini mwa nchi hiyo lenye waislamu wengi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani