Maggid Mjengwa: John Komba Nilimwona Kwa Mara Ya Kwanza Mwaka 1981..
Ndugu zangu,
Nimepokea kwa masikitiko habari za kifo cha ghafla cha msanii mhamasishaji John Komba.
Nilikuwa kijana mdogo sana nilipomwona kwa mara ya kwanza John Komba akitumbuiza ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa mwaka 1981.
Nilimwona John Komba na kikundi chake cha Kwaya ya JKT Mgulani. Alikuwa kijana mwembamba. Alikuwa mwanzoni kabisa mwa nyota yake kuanza kung’aa kuwarithi wasanii wahamasishaji wa tangu enzi za TANU, akina Mzee Makongoro na Chalamila.
Hata kwa masikio ya utotoni, nilimwona...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
Kwanza Production yafanya Mahojiano ya Mwanalibeneke Maggid Mjengwa

Karibu katika mahojiano mwanahabari makini na wa muda mrefu ambaye pia ni mmiliki wa Kwanza Jamii, Maggid Mjengwa na Mubelwa Bandio wa Kwanza Production. Amegusia mambo mbalimbali kama masuala ya uandishi, siasa (kama mwenendo wa Bunge Maalum la Katiba) na mwenendo mzima wa nchi ya Tanzania. Huu ni mfululizo wa mazungumzo na watu mbalimbali kuhusu masuala tofauti yaliyo muhimu kwa mustakabali wa nchi za Afrika Mashariki Karibu Kwa maoni, tafadhali wasiliana nasi kwa...
11 years ago
Dewji Blog25 Aug
Maggid Mjengwa aongoza mjadala Kwanza Jamii Radio: Nini tafsiri ya Mizengo Pinda kutangaza nia? Sikiliza…
Studio za Kwanza Jamii Radio.
Kusikiliza mjadala huo ingia hapa
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Bongo514 Jan
Wizkid kuja Tanzania mwaka huu kwa mara ya kwanza
10 years ago
Dewji Blog21 Jun
Usikose kipindi kipya cha luninga ‘Nyumbani na Diaspora’ kinachoendeshwa na Maggid Mjengwa kila Ijumaa ndani ya TBC 1
Nyumbani na Diaspora!
Ni kipindi kipya cha saa nzima chenye kuhusiana na Watanzania wa nyumbani na walio nje ya mipaka yetu.
Ni kipindi daraja kitakachowaunganisha Watanzania katika kubaini fursa mbalimbali za kuinuka kimaendeleo, kwa mtu mmoja mmoja, jumuiya na hatimaye taifa.
Ni kipindi kitakachoongozwa na mchambuzi na mmoja wa wanahabari nguli hapa nchini. Si mwingine ni Maggid Mjengwa.
Jiunge nae kufuatilia mahojiano motomoto na watu wa kada mbalimbali kwenye masuala ya kiuchumi,...
11 years ago
Bongo502 Oct
Mwana FA kutumbuiza kwa mara ya kwanza kwenye Fiesta mwaka huu mjini Singida
10 years ago
BBCSwahili01 Jan
Kano wapokea mwaka mpya mara ya kwanza
10 years ago
Dewji Blog01 Mar
10 years ago
GPL01 Mar