Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maggid Mjengwa aongoza mjadala Kwanza Jamii Radio: Nini tafsiri ya Mizengo Pinda kutangaza nia? Sikiliza…

kwanzaJamii_Radio_9efa8

Studio za Kwanza Jamii Radio.

Kusikiliza mjadala huo ingia hapa

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

11 years ago

Michuzi

Kwanza Production yafanya Mahojiano ya Mwanalibeneke Maggid Mjengwa

Maggid Mjengwa
Karibu katika mahojiano mwanahabari makini na wa muda mrefu ambaye pia ni mmiliki wa Kwanza Jamii, Maggid Mjengwa na Mubelwa Bandio wa Kwanza Production. Amegusia mambo mbalimbali kama masuala ya uandishi, siasa (kama mwenendo wa Bunge Maalum la Katiba) na mwenendo mzima wa nchi ya Tanzania. Huu ni mfululizo wa mazungumzo na watu mbalimbali kuhusu masuala tofauti yaliyo muhimu kwa mustakabali wa nchi za Afrika Mashariki Karibu Kwa maoni, tafadhali wasiliana nasi kwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Maggid Mjengwa: John Komba Nilimwona Kwa Mara Ya Kwanza Mwaka 1981..

1743555_10203523962992463_4505766789552108218_n

Ndugu zangu,

Nimepokea kwa masikitiko habari za kifo cha ghafla cha msanii mhamasishaji John Komba.

Nilikuwa kijana mdogo sana nilipomwona kwa mara ya kwanza John Komba akitumbuiza ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa mwaka 1981.

Nilimwona John Komba na kikundi chake cha Kwaya ya JKT Mgulani. Alikuwa kijana mwembamba. Alikuwa mwanzoni kabisa mwa nyota yake kuanza kung’aa kuwarithi wasanii wahamasishaji wa tangu enzi za TANU, akina Mzee Makongoro na Chalamila.

Hata kwa masikio ya utotoni, nilimwona...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mjadala ulioongozwa na Mjengwa; Cleopa Msuya na dhana ya maadili ya kiongozi urais 2015, sikiliza hapa

DSC_2797

Waziri mkuu Mstaafu Cleopa Msuya.

Kusikiliza mjadala huo ulioongozwa na Maggid Mjengwa kupitia kipindi cha “Soko la habari la Kariakoo” unaweza kubofya hapa

 

10 years ago

Dewji Blog

Usikose kipindi kipya cha luninga ‘Nyumbani na Diaspora’ kinachoendeshwa na Maggid Mjengwa kila Ijumaa ndani ya TBC 1

Mjengwa

Nyumbani na Diaspora!

Ni kipindi kipya cha saa nzima chenye kuhusiana na Watanzania wa nyumbani na walio nje ya mipaka yetu.

Ni kipindi daraja kitakachowaunganisha Watanzania katika kubaini fursa mbalimbali za kuinuka kimaendeleo, kwa mtu mmoja mmoja, jumuiya na hatimaye taifa.

Ni kipindi kitakachoongozwa na mchambuzi na mmoja wa wanahabari nguli hapa nchini. Si mwingine ni Maggid Mjengwa.

 Jiunge nae kufuatilia mahojiano motomoto na watu wa kada mbalimbali kwenye masuala ya  kiuchumi,...

 

10 years ago

Africanjam.Com

9 years ago

Dewji Blog

Waziri Mkuu Mizengo Pinda afungua rasmi mafunzo ya Uongozi daraja la kwanza Chuo cha Magereza Kiwira,Mbeya

unnamed (17)Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mizengo Peter  Pinda(katikati) akipokea Salaam kutoka kwa Gwaride lililoandaliwa na Wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi Daraja la Kwanza kwa Askari wa Jeshi la Magereza(hawapo pichani). Kushoto ni Kamishna Jenerali wa Magereza, John Casmir Minja(kulia) ni Mkuu wa Chuo cha Magereza Kiwira, SACP. Stanford Ntirundura.

unnamed (18)Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Peter Pinda akikagua Gwaride rasmi lililoandaliwa na Wahitimu wa Mafunzo ya Uongozi wa Daraja la kwanza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani