Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Seif Magari aibua mapya Yanga

UONGOZI wa Klabu ya Yanga umetoa onyo kwa watu wanaotumika kusambaza ‘meseji’ za vitisho kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya Kimataifa, Seif Ahmed ‘Magari’ na viongozi wenzake kwa lengo...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Tamasha la Magari Tanzania (Autofest) limerudi na Matoleo Mapya ya Magari

Likirudi kwa mwaka wake wa saba, tamasha la magari Tanzania (autofest) litakua likionyesha magari mapya, matoleo mapya ya pikipiki, burudani za muziki kutoka kwa wasanii mbalimbali wa nchini na burudani nyingine za kusisimua kwa ajili ya familia nzima kuanzia Septemba 19-21, 2014. Tamasha la mwaka huu ambalo linaandaliwa na Vision Investment, litafanyika katika viwanja vya Biafra, Kinondoni. Anayetarajiwa kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi ni Mhe. Dk Abdallah O. Kigoda, Waziri wa...

 

10 years ago

Mtanzania

Lowassa aibua mapya

Na Waandishi Wetu, Dodoma, Kilimanjaro
HALI ya siasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inazidi kuwa tete baada ya makundi mbalimbali ya jamii kwenda kumshawishi Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa achukue fomu ya kugombea urais.
Hali hiyo imedhihirika baada ya makada wa chama hicho kuanza kuvurugana kwa kutoa kauli zinazopingana juu ya wanaomtembelea Waziri Mkuu huyo wa zamani.
Hatua hiyo imekuja siku moja baada ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Abdallah Bulembo, kuwataka wajumbe...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Dk. Slaa aibua mapya IPTL

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilibrod Slaa, amesema fedha zilizochotwa katika Akaunti ya Tegeta Escrow ni sh bilion 400 badala sh bilioni 306 kama ilivyokaririwa...

 

10 years ago

Habarileo

Kiiza aibua mapya Simba

MSHAMBULIAJI wa Simba, Hamis Kiiza bado amebakisha wiki moja arejee uwanjani katika muda aliopangiwa na daktari wake, lakini sasa ameamua kuja kivingine. Kiiza raia wa Uganda, amesema ameuomba daktari wa Simba, Yassin Gembe amruhusu Jumatano aichezee Simba itakapokuwa inamenyana na Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfungwa wa EPA aibua mapya

JESHI la Magereza (TPS) nchini limekiri kuachiwa huru kwa msamaha wa Rais Jakaya Kikwete, mfanyabiashara , aliyetupwa jela kutumikia kifungo cha miaka miwili kwa kosa la kukwapua sh bilioni 3.8...

 

10 years ago

Vijimambo

Mbowe aibua mapya mfumo wa BVR.

Asema mtaalamu alionya Tanzania haijawa tayari, Usajili ukiendelea utasababisha machafuko ya kisiasa.Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe, amedai kuibua nyaraka zinazoonyesha Tume ya Taifa ya Uchaguzi (Nec), ilishauriwa na mtaalamu wa mashine za BVR kutoka Marekani kuwa Tanzania haijawa tayari kwa teknolojia hiyo.
Akifungua kikao cha baraza la uongozi wa chama hicho Kanda za Nyanda za Juu Kusini jana alisema, Mshauri Mwelekezi kutoka Marekani Darell Geusz...

 

10 years ago

Mwananchi

Sheikh Farid wa uamsho aibua mapya mahakamani

Sheikh Farid Hadi Ahmed (43) anayekabiliwa na kesi ya ugaidi na wenzake 23, wa Jumuiya ya Uamsho, wamesema wanahitaji Jaji Mkuu, Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Waziri wa Katiba wa Zanzibar, waende gerezani kuonana nao.

 

11 years ago

Mwananchi

Mwandishi Uingereza aibua mapya meno ya tembo Tanzania

>Licha ya Rais Jakaya Kikwete kutoa ahadi ya kuteketeza maelfu ya meno ya tembo yaliyo kwenye ghala la Serikali, imeelezwa kuwa uwezekano huo ni mdogo.

 

10 years ago

Vijimambo

DKT FENELA AIBUA MATUMAINI MAPYA JIMBONI KIBAMBA

dkt fenela mukangara akiwa na mumewe prof mukangara kwenye mkutano wa kampeni za ccm Jimbo la kibamba kwenye uwanja wa msigani tanescomamia ya wananchi wa kibamba wakimsikiliza dkt fenela mukangara.dkt fenela mukangara akihutumia wananchi wa jimbo la kibamba kwenye viwanja vya msigani tanesco.dkt fenela mukangara akipongezwa na mumewe prof mukangara mara baada ya kuhutubia mkutano wa kibamba.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani