Kiiza aibua mapya Simba
MSHAMBULIAJI wa Simba, Hamis Kiiza bado amebakisha wiki moja arejee uwanjani katika muda aliopangiwa na daktari wake, lakini sasa ameamua kuja kivingine. Kiiza raia wa Uganda, amesema ameuomba daktari wa Simba, Yassin Gembe amruhusu Jumatano aichezee Simba itakapokuwa inamenyana na Coastal Union ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania25 Mar
Lowassa aibua mapya
Na Waandishi Wetu, Dodoma, Kilimanjaro
HALI ya siasa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) inazidi kuwa tete baada ya makundi mbalimbali ya jamii kwenda kumshawishi Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa achukue fomu ya kugombea urais.
Hali hiyo imedhihirika baada ya makada wa chama hicho kuanza kuvurugana kwa kutoa kauli zinazopingana juu ya wanaomtembelea Waziri Mkuu huyo wa zamani.
Hatua hiyo imekuja siku moja baada ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Abdallah Bulembo, kuwataka wajumbe...
10 years ago
Tanzania Daima06 Dec
Dk. Slaa aibua mapya IPTL
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilibrod Slaa, amesema fedha zilizochotwa katika Akaunti ya Tegeta Escrow ni sh bilion 400 badala sh bilioni 306 kama ilivyokaririwa...
11 years ago
Tanzania Daima25 Jan
Mfungwa wa EPA aibua mapya
JESHI la Magereza (TPS) nchini limekiri kuachiwa huru kwa msamaha wa Rais Jakaya Kikwete, mfanyabiashara , aliyetupwa jela kutumikia kifungo cha miaka miwili kwa kosa la kukwapua sh bilioni 3.8...
11 years ago
Tanzania Daima27 Jan
Seif Magari aibua mapya Yanga
UONGOZI wa Klabu ya Yanga umetoa onyo kwa watu wanaotumika kusambaza ‘meseji’ za vitisho kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano ya Kimataifa, Seif Ahmed ‘Magari’ na viongozi wenzake kwa lengo...
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-F8-aR2gWXs8/VOnpj1T6MoI/AAAAAAAARuU/e5TwESjiR_0/s72-c/mbowe.jpg)
Mbowe aibua mapya mfumo wa BVR.
![](http://4.bp.blogspot.com/-F8-aR2gWXs8/VOnpj1T6MoI/AAAAAAAARuU/e5TwESjiR_0/s1600/mbowe.jpg)
Akifungua kikao cha baraza la uongozi wa chama hicho Kanda za Nyanda za Juu Kusini jana alisema, Mshauri Mwelekezi kutoka Marekani Darell Geusz...
10 years ago
Mwananchi12 May
Sheikh Farid wa uamsho aibua mapya mahakamani
9 years ago
VijimamboDKT FENELA AIBUA MATUMAINI MAPYA JIMBONI KIBAMBA
11 years ago
Mwananchi24 Mar
Mwandishi Uingereza aibua mapya meno ya tembo Tanzania
9 years ago
Mtanzania06 Oct
Kiiza mchezaji bora Simba
NA THERESIA GASPER, DAR ES SALAAM
MSHAMBULIAJI wa Simba, Hamis Kiiza ‘Diego’, ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Septemba wa timu hiyo, iliyotolewa kabla ya kuanza kwa mazoezi yao Uwanja wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) jana.
Kiiza amepewa zawadi ya tuzo yenye picha ya kiatu pamoja na mpira na kiasi cha fedha cha Sh 500,000, akiwapiku wachezaji wenzake ambao nao walikuwa wakiishindania. Tuzo hiyo ya Kiiza imetokana na moto wake wa kufunga mabao Ligi Kuu akiwa kileleni amefunga...