Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwandishi Uingereza aibua mapya meno ya tembo Tanzania

>Licha ya Rais Jakaya Kikwete kutoa ahadi ya kuteketeza maelfu ya meno ya tembo yaliyo kwenye ghala la Serikali, imeelezwa kuwa uwezekano huo ni mdogo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Ripoti yaibua mapya ujangili meno ya tembo

Wiki moja baada ya Shirika la Mazingira (Eia) la Uingereza kutoa ripoti kuwa msafara wa Rais Xi Jinping wa China ulihusika na utoroshwaji wa meno ya tembo nchini, imeelezwa kuwa ripoti hiyo ilikabidhiwa Wizara ya Maliasili na Utalii, uongozi wa misitu wa China pamoja na polisi wa nchi zote mbili kabla ya kuichapisha, lakini haikufanyiwa kazi.

 

11 years ago

BBCSwahili

Meno ya tembo 81 yakamatwa Tanzania

Watu wawili wanashikiliwana polisi nchini Tanzania baada ya kukamatwa na shehena ya meno ya tembo waliyokuwa wakisafirisha kiharamu.

 

11 years ago

Michuzi

WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO

Jeshi la Polisi Kanda Maalum limefanikiwa kukamata vipande zaidi ya ishirini (20) vinavyodhaniwa kuwa ni meno ya Tembo vilivyokuwa vimehifadhiwa nadni ya mfuko maarufu kwa jina la kiroba. Tukio hili lilitokea tarehe 30/04/2014 katika kiwanda cha Nondo Steel Master kilichopo eneo la Mbozi Road (W) kipolisi Chang’ombe (M) kipolisi Temeke baada ya Polisi kupokea taarifa kuwa katika kiwanda hicho kuna mfuko wa kiroba wenye bidhaa hiyo umefichwa. Baada ya taarifa hizo askari kikosi cha Upelelezi...

 

11 years ago

GPL

WATU WATATU WAKAMATWA NA MENO 25 YA KIBOKO NA VIPANDE 8 VYA MENO YA TEMBO

Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam Kamishna Suleiman Kova akionesha sehemu ya  vipande 8 vya meno ya tembo vilivyodakwa huko Tabata Kisiwani jijini Dar es salaam
Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam Kamishna Suleiman Kova akikagua gari linalotuhumiwa kutumika.…

 

11 years ago

Mwananchi

Ripoti: Tanzania kinara biashara meno ya tembo

Kwa hali ilivyo sasa, inatabiriwa kuwa baada ya miaka saba, kama jitihada hazitafanyika, tembo watatoweka katika ardhi ya Tanzania.

 

11 years ago

Mwananchi

Tanzania kitovu ujangili meno ya tembo EAC

Ripoti ya Shirika la Polisi la Kimataifa (Interpol) imeeleza kuwa mwaka jana, Tanzania ndiyo iliyoongoza kwa kuwa kitovu cha meno ya tembo kwa nchi za Afrika Mashariki.

 

11 years ago

Michuzi

TANZANIA KUTOUZA AKIBA YA MENO YA TEMBO ILIYONAYO

 Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akifanya mahojiano na Mwandishi wa Gazeti la The Independent la Nchini Uingereza kuhusiana na juhudi mbalimbali zinazofanywa na Serikali katika Vita Dhidi ya Ujangili nchini.  Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu (kati) akimtambulisha Mshauri wa Masuala ya Vyombo vya Habari nchini Uingereza Bw. David Tarsh (kulia) kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Benard Membe jijini...

 

10 years ago

StarTV

Tanzania yaipongeza China kudhibiti biashara meno ya Tembo.

Na Immaculate Kilulya,

Dar es Salaam.

 

Serikali ya Tanzania imeipongeza Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China kwa kupiga marufuku uingizwaji wa bidhaa zote zitokanazo na meno ya Tembo kutoka sehemu yoyote duniani kwa kipindi cha mwaka mmoja kwa kusema hatua hiyo itasaidia kumaliza mauaji ya wanyama hao.

 

Uamuzi huo wa China unatokana na ushawishi wa Viongozi wa Afrika chini ya Rais Jakaya Kikwete na mataifa washiriki duniani ya Amerika, Ujerumani, Jumuiya ya Ulaya, Uingereza na Serikali ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani