Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATUMIWA SUGU WA KUCHAKACHUA VIROBA VYA KONYAGI WASHINDWA DHAMANA NA KURUDISHWA RUMANDE.

MAHAKAMA ya hakimu mkazi Moshi, leo imefurika mamia ya wananchi waliokwenda kushuhudia watuhumiwa sugu wa utengenezaji wa konyagi feki na bidhaa nyingine mbalimbali na kuzibandika nembo za TRA ambayo inadiwa kudhuru maelfu ya watanzania.   Hata hivyo mahakama ya mkazi moshi imewaachia kwa dhamana watuhumiwa hao nane ambao wanakabiliwa na tuhuma za kutumia alama za biashara za makampuni mengine kwa nia ya kutapeli.na kujipatia pesa kinyume cha utaratibu.   Watuhumiwa hao ni Yusuph George,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Msako wanasa bunduki, viroba vya konyagi

JESHI la Polisi mkoani Kagera limekamata bunduki moja ya kivita ikiwa imefukiwa ardhini pamoja na viroba bandia vya pombe aina ya konyagi katoni 20.

 

11 years ago

GPL

ALIYEMTESA MTOTO KWA SIKU 730 AKOSA DHAMANA, ARUDISHWA RUMANDE

WAKILI wa kujitegemea, Yasinta Rwechungura (44) anayekabiliwa na kesi ya kumtesa, kumpiga na kumnyanyasa mfanyakazi wake wa ndani, Merina Mathayo (15) amezidi kusota rumande baada ya kushindwa kutimiza masharti ya dhamana Julai 11, 2014 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni.

 

9 years ago

StarTV

Viroba 17 vya bangi yakamatwa yakisafirishwa kitaalamu

Polisi Ruvuma yakamata magunia 17 ya bangi Polisi mkoani Ruvuma imefanikiwa kukamata Magunia 17 ya Bangi yakiwa na uzito wa kilo 340.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Revocatus Malimi amesema magunia hayo ya Bangi yamekamatwa katika Kata ya Subira yakiwa kwenye Gari lenye namba za usajili T588 BBJ ambapo Dereva na wenye mizigo wamelitelekeza gari hilo.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Revocatus Malimi amesema baada ya kupata taarifa kwa Wasamaria wema walitoa tarifa ya...

 

10 years ago

Michuzi

KONYAGI WATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KITUO CHA POLISI CHANG’OMBE

 Askari wakisaidia kushusha kwenye gari mabati yaliyotolewa msaada na Kampuni ya Konyagi ya  Tanzania Distilleries Limited (TDL), kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Polisi Chang’ombe, kitengo cha upelelezi. Hafla ya utoaji wa vifaa vya ujenzi vikiwemo pia saruji, misumari na fedha ya mafundi vilikabidhiwa jana katika kituo hicho kilichopo Temeke, Dar es Salaam. Askari wakisaidia kushusha kwenye gari mabati yaliyotolewa msaada na Kampuni ya Konyagi ya  Tanzania Distilleries Limited (TDL), kwa...

 

10 years ago

GPL

KONYAGI WATOA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI KITUO CHA POLISI CHANG'OMBE‏

 Askari wakisaidia kushusha kwenye gari saruji iliyotolewa msaada na Kampuni ya Konyagi ya  Tanzania Distilleries Limited (TDL), kwa ajili ya ujenzi wa Kituo cha Polisi Chang'ombe, kitengo cha upelelezi. Hafla ya utoaji wa vifaa vya ujenzi vikiwemo pia mabati, misumari na fedha ya mafundi vilikabidhiwa jana katika kituo hicho kilichopo Temeke, Dar es Salaam.
 Askari wakisaidia kushusha kwenye gari mabati yaliyotolewa...

 

11 years ago

Mwananchi

Hata ziundwe Tume 100, zitatuhumiwa kuchakachua takwimu

Kuna tuhuma nzito kuwa Tume ya Mabadiliko ya Katiba ilichakachua takwimu za maoni ya wananchi ili tu kukidhi hoja ya muundo wa Serikali tatu.

 

10 years ago

Habarileo

‘Vitendo vya ukeketaji bado tatizo sugu’

VITENDO vya ukeketaji bado ni tatizo sugu, kutokana na baadhi ya watoa huduma za afya kushiriki kusaidia jambo hilo.

 

10 years ago

Vijimambo

ALIEKUWA MCHUMBA WA MH SUGU AFUNGUKA NA KUSEMA KUWA MHESHIMIWA SUGU HAMJALI MTOTO WALIOZAA

Aliyekuwa mpenzi wake na mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi aka Sugu, Faiza Ally amemtupia mzazi mwenzake kuwa hamjali mwanae baada ya kuachana.Faiza alikuwa akiongea kwenye kipindi cha Take One cha Clouds TV ambapo alikiri kuwa kuachana na Sugu kunaendelea kumuumiza.
“Imeniathiri sana hata hailezeki,” alisema. “Naona hata nikieleza siwezi kumaliza. Imeniathiri kiasi kikubwa sana, kwa sababu na mwaka mzima kama nikipumzika kulia ni siku moja.”“Yaani inauma sana mtu ambaye ulikuwa unamuona...

 

10 years ago

BBCSwahili

Punda watumiwa kutoa ujumbe Kenya

Wanaharakati hii leo waliwapeleka Punda katikati ya mji wa Nairobi waliokuwa na maandiko ''Tumechoka'' kuonyesha wakenya walivyochoshwa na utovu wa usalama

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani