Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viroba 17 vya bangi yakamatwa yakisafirishwa kitaalamu

Polisi Ruvuma yakamata magunia 17 ya bangi Polisi mkoani Ruvuma imefanikiwa kukamata Magunia 17 ya Bangi yakiwa na uzito wa kilo 340.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Revocatus Malimi amesema magunia hayo ya Bangi yamekamatwa katika Kata ya Subira yakiwa kwenye Gari lenye namba za usajili T588 BBJ ambapo Dereva na wenye mizigo wamelitelekeza gari hilo.

Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma Revocatus Malimi amesema baada ya kupata taarifa kwa Wasamaria wema walitoa tarifa ya...

StarTV

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Msako wanasa bunduki, viroba vya konyagi

JESHI la Polisi mkoani Kagera limekamata bunduki moja ya kivita ikiwa imefukiwa ardhini pamoja na viroba bandia vya pombe aina ya konyagi katoni 20.

 

11 years ago

Michuzi

WATUMIWA SUGU WA KUCHAKACHUA VIROBA VYA KONYAGI WASHINDWA DHAMANA NA KURUDISHWA RUMANDE.

MAHAKAMA ya hakimu mkazi Moshi, leo imefurika mamia ya wananchi waliokwenda kushuhudia watuhumiwa sugu wa utengenezaji wa konyagi feki na bidhaa nyingine mbalimbali na kuzibandika nembo za TRA ambayo inadiwa kudhuru maelfu ya watanzania.   Hata hivyo mahakama ya mkazi moshi imewaachia kwa dhamana watuhumiwa hao nane ambao wanakabiliwa na tuhuma za kutumia alama za biashara za makampuni mengine kwa nia ya kutapeli.na kujipatia pesa kinyume cha utaratibu.   Watuhumiwa hao ni Yusuph George,...

 

10 years ago

GPL

VIROBA SI CHAI!

NI AIBU! Ndivyo unavyoweza kushangaa baada ya mtu mmoja anayedhaniwa kuwa ni askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kunywa pombe kiasi cha kupoteza fahamu akiwa na sare za taasisi hiyo inayoheshimika nchini na kujikuta akilala karibu na mtaro, katika stendi kuu ya mabasi mjini Iringa. Anayedhaniwa kuwa mwananjeshi akiwa amelala kwenye mtaro. Habari kutoka eneo la tukio zinasema mtu huyo alipanda basi liitwalo Mgumba...

 

11 years ago

Mwananchi

Usifanye biashara tu, ipangilie kitaalamu

Mpango wa biashara ni roho ya biashara, kwani ndiyo unaoonyesha dira ya biashara husika. Katika biashara tunasema bila kuwa na mipangilio inayoeleweka, hakuna mafanikio yatakayoonekana.

 

11 years ago

Mwananchi

Dengue itibiwe kitaalamu, si vinginevyo

Nchi yetu inapita katika kipindi kigumu wakati huu kutokana na ugonjwa wa homa ya dengue ambao awali ulidhaniwa kuikumba Dar es Salaam, lakini sasa umeenea katika maeneo mengi.

 

10 years ago

Vijimambo

MWAKALEBELA: WANASIASA TUSIINGILIE KAZI ZA KITAALAMU

Mkuu wa Wilaya wa Wanging’ombe, mkoani Njombe Frederick Mwakalebela akifungua warsha ya kujifunza kwa pamoja juu ya utekelezaji wa mpango wa usimamizi na matumizi endelevu ya rasilimaliza maji (UMURAME) iliyoandaliwa na Bodi ya Maji Bonde la Rufiji kwa kushirikiana na Shirika la WWF Tanzania iliyofanyika mkoani Njombe jana. (PICHA NA FRIDAY SIMBAYA)Mkuu wa Wilaya wa Wanging’ombe, mkoani Njombe Frederick Mwakalebela (wa tatu kushoto walioketi) akiwa katika picha ya pamoja muda mfupi baada ya...

 

11 years ago

Habarileo

Serikali kuanzisha bodi ya kitaalamu ya walimu

SERIKALI imeamua kuanzisha bodi ya kitaalamu ya walimu Tanzania katika mwaka ujao wa fedha, itakayosimamia masuala ya walimu, ikiwemo usajili, uendelezaji wa walimu na maadili ya kazi ya ualimu.

 

10 years ago

Mtanzania

Snura akwepa ‘viroba’ stejini

snura1NA RHOBI CHACHA

KATIKA hali isiyo ya kawaida msanii wa filamu na muziki, Snura Mushi, alijikuta akirushiwa pombe zilizokuwa katika vifuko vidogo maarufu viroba akiwa jukwaani kama njia ya kumshangilia kwa uchezaji wake.

Snura alipanda jukwaani na kuimba wimbo wake ulioshika chati nchini wa ‘Nimevurugwa’ katika onyesho la miaka 16 ya msanii Juma Nature lililofanyika katika ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala jijini.

Snura akiwa jukwaani, shabiki mmoja alimfuata na kumtunza kiroba kisha idadi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani