Snura akwepa ‘viroba’ stejini
NA RHOBI CHACHA
KATIKA hali isiyo ya kawaida msanii wa filamu na muziki, Snura Mushi, alijikuta akirushiwa pombe zilizokuwa katika vifuko vidogo maarufu viroba akiwa jukwaani kama njia ya kumshangilia kwa uchezaji wake.
Snura alipanda jukwaani na kuimba wimbo wake ulioshika chati nchini wa ‘Nimevurugwa’ katika onyesho la miaka 16 ya msanii Juma Nature lililofanyika katika ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala jijini.
Snura akiwa jukwaani, shabiki mmoja alimfuata na kumtunza kiroba kisha idadi...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima12 Mar
Mwalimu aliyefumaniwa akwepa hukumu
MWALIMU wa Shule ya Msingi Katani wilayani Nkasi, Rukwa Ringtone Rayson (36) amehukumiwa kwenda jela miaka miwili au kulipa faini ya sh 100,000 kwa makosa ya kufumaniwa na kumjeruhi mume...
11 years ago
Mwananchi11 Mar
Maxime akwepa zigo la lawama Mtibwa
10 years ago
BBCSwahili10 Aug
Mchungaji akwepa kula panya na nyoka
10 years ago
BBCSwahili17 Apr
David Cameron akwepa mdahalo wa pili
11 years ago
Mwananchi14 May
Waziri akwepa hoja, amshambulia Lissu
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4t8Bu5s6lgTM2-1*tam6HXYbVXiPbplNz-eGA6929V7YJ2CvlsFyiRRQqUGYhaI45C18mETFyfrIng8lgd4qmgZYzZTOFVTi/viroba.jpg)
VIROBA SI CHAI!
10 years ago
BBCSwahili21 Nov
Akwepa Polisi kwa kukimbia kilomita nane
10 years ago
GPLPROFESA JAY AKIFANYA YAKE STEJINI
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-8xK5LEJJHwU/XmjQUK9EPTI/AAAAAAALilo/2jZDj7auqUsukbWHhZdiu-2K9c3JAek1wCLcBGAsYHQ/s72-c/POLE%2B2.jpg)
CCM YAMLIPIA FAINI DKT. MASHINJI, AKWEPA KIFUNGO
Mashinji ambaye awali alikuwa Katibu Mkuu wa Chadema kabla ya hivi karibuni kuhamia CCM, pamoja na Viongozi nane wa Chadema wote kwa pamoja walihukumiwa kulipa faini ya...