Waziri akwepa hoja, amshambulia Lissu
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Samia Suluhu Hassan alikataa kueleza walipo waasisi sita wa Muungano ambao kambi ya upinzani ilidai kuwa waliuawa na kuzikwa handaki moja, badala yake akatumia nafasi hiyo kumshambulia mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akidai hizo ni propaganda na upotoshaji.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima04 May
Nani atajibu hoja za Lissu?
NIMEMSIKILIZA vema Tundu Lissu. Amesema bungeni na kwenye mikutano ya hadhara. Wasiomwelewa, au wanaoogopa kujibu hoja zake, bila shaka kwa kutokuwa na majibu, wamekimbilia kusema kwamba Lissu ametukana waasisi wa...
10 years ago
Mtanzania21 Feb
Waziri Dk. Mkangara amshambulia lowassa
Na Ruth Mnkeni, Dar es Salaam
WAZIRI wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Fenella Mkangara, amemshambulia kwa maneno makali Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa na wanasiasa wengine wanaosimama majukwaani na kudai vijana ni bomu linalosubiri kulipuka.
Akizungumza Dar es Salaam jana katika hafla ya kutia saini ya makubaliano ya kuwa na uhusiano wa utendaji kati ya wizara hiyo na Taasisi ya Kutoa Elimu ya Ujasiriamali (Esami), Dk. Mkangara, alisema kauli za namna hiyo ni za ovyo,...
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-9l26CrgDE0Q/U26En-q46oI/AAAAAAAFgsk/DjNEY_CI0go/s72-c/IMG_8783.jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-GqrN3rIpOy0/Xk6acvew03I/AAAAAAALejw/E0JDyMppPykK3i1b8qn8mfDM95PQzPxiQCLcBGAsYHQ/s72-c/Lissu%2BTundu.jpg)
WADHAMINI WA LISSU WAOMBA AMRI ITOLEWE YA KUMKAMATA KWA LISSU
![](https://1.bp.blogspot.com/-GqrN3rIpOy0/Xk6acvew03I/AAAAAAALejw/E0JDyMppPykK3i1b8qn8mfDM95PQzPxiQCLcBGAsYHQ/s640/Lissu%2BTundu.jpg)
Madai hayo yamewasilishwa leo Februari 20, 2020 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba wakati kesi dhidi ya Lissu ilipopangwa kwa ajili ya kutajwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam.
Mapema wakili wa Serikali Mwandamizi, Wankyo...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rUrHnDSl8N8Kh7POqX1Gm7pDYswaGwxckneYoU3hk1V9Mh3NjpekVGeQS7gCwbxg75VyP0sbTrVq4lEd31nuuQZ5n6lYxSij/TunduLissu.jpg?width=650)
HOJA YA DHARURA: WABUNGE WATAKA WAZIRI MKUU NA CHIKAWE WAWAJIBISHWE
11 years ago
MichuziWaziri wa fedha Mhe.Saada Mkuya Kujibu Hoja za Wabunge jioni ya Leo
9 years ago
Mtanzania06 Jan
Future amshambulia Ciara
NEW YORK, MAREKANI
MSANII wa muziki wa hip hop nchini Marekani, Nayvadius Wilburn ‘Future’, amemshambulia mpenzi wake wa zamani, Ciara kwa malezi mabaya ya mtoto wao.
Wawili hao walifanikiwa kupata mtoto wa kiume ambaye walimpa jina la Future Zahir, wakati wa uhusiano wao, lakini baada ya kutengana mtoto huyo akawa anaishi na mama yake ‘Ciara’ ila Future ameonekana kuchukizwa na malezi ya mama huyo kwa mtoto wake.
“Najua mwanangu anateseka kukaa na mama yake, hafundishwi maadili mazuri...
9 years ago
Mtanzania03 Oct
Kangi Lugola amshambulia Lowassa
Na Ahmed Makongo, Mwibara
MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Mwibara kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kangi Lugola, amemshambulia kwa maneno makali mgombea urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, kuwa umati wa watu wanaofurika kwenye mikutano yake haumaanishi kumkubali isipokuwa una sababu zaidi ya hiyo.
Lugola aliyasema hayo juzi kwenye mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan, uliofanyika Uwanja wa Kata ya Kisorya katika Jimbo...
10 years ago
Mwananchi03 Sep
Sitta amshambulia Kubenea bungeni