Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Nani atajibu hoja za Lissu?

NIMEMSIKILIZA vema Tundu Lissu. Amesema bungeni na kwenye mikutano ya hadhara. Wasiomwelewa, au wanaoogopa kujibu hoja zake, bila shaka kwa kutokuwa na majibu, wamekimbilia kusema kwamba Lissu ametukana waasisi wa...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

ACT-Wazalendo Mnapata Wapi Pesa za Kuendesha Chama? Zitto Ashindwa Kujibu Je nani Atajibu


Wakati kunavyama vina miaka zaidi ya 10 vimeshindwa kufanya mikutano hata mkoa mzima.Nyie hamna wabunge wala madiwani wanaokichangia chama.Kama Zitto aliweza kutangaza mali alizonazo na amezipata vipi, kwanini ameshindwa kutueleza pesa za kuendesha chama zinapatikana wapi? Katika Mkutanao wa Chama hicho Mwanza Zitto Alishindwa Kujibu Swali hilo na Badala yake alisema Kawaulize kina Mzee Mtei Chadema nao Wanapata Wapi Fedha za Kufadhili Mikutano yao...
Wadhamini wa chama ni akinanani.?
Kama...

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri akwepa hoja, amshambulia Lissu

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano), Samia Suluhu Hassan alikataa kueleza walipo waasisi sita wa Muungano ambao kambi ya upinzani ilidai kuwa waliuawa na kuzikwa handaki moja, badala yake akatumia nafasi hiyo kumshambulia mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu akidai hizo ni propaganda na upotoshaji.

 

5 years ago

Michuzi

WADHAMINI WA LISSU WAOMBA AMRI ITOLEWE YA KUMKAMATA KWA LISSU

WADHAMINI wa aliyekuwa mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu, Ibrahim Ahmed na Robart Katula wamefungua maombi  katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakiomba itolewe amri ya kukamatwa kwa mshtakiwa huyo kwa kuwa wao wameshindwa kumpata.
Madai hayo yamewasilishwa leo Februari 20, 2020 mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Thomas Simba wakati kesi dhidi ya Lissu ilipopangwa kwa ajili ya kutajwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam.
Mapema wakili wa Serikali Mwandamizi, Wankyo...

 

10 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI URAIS: Peter Mziray, Rais Mtendaji APPT-Maendeleo

Historia yake Peter Mziray ni Rais Mtendaji wa Chama cha APPT Maendeleo, Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa na kitaaluma ni mtaalamu wa mifugo na uchumi wa kilimo.

 

10 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI URAIS: Fahmi Dovutwa: Mwenyekiti wa chama cha UPDP

Historia yake Fahmi Nasoro Dovutwa ni Mwenyekiti wa kitaifa wa Chama cha United Peoples Democratic Party (UPDP). Alizaliwa Februari 27, 1957 mjini Kisarawe mkoani Pwani (Amefikisha miaka 58 Februari mwaka huu).

 

10 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI URAIS: DK Willibroad Slaa: Katibu Mkuu wa Chadema

Historia yake Dk Willibrod Slaa ni Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema). Slaa alizaliwa Oktoba 29, 1948 kijijini Kwermusi, Wilaya ya Mbulu (Oktoba atafikisha umri wa miaka 67). Slaa alisoma Shule ya Msingi Kwermusi iliyoko wilayani Mbulu mwaka 1958-1961 na baadaye Shule ya Kati (Middle School) ya Karatu kati ya mwaka 1962-1965.

 

10 years ago

Mwananchi

NANI NI NANI URAIS: Profesa Ibrahim Lipumba: Mwenyekiti wa CUF

Ibrahim Lipumba ni mchumi wa kimataifa na Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF). Alizaliwa Juni 6, 1952 katika Kijiji cha Ilolangulu mkoani Tabora.

 

10 years ago

Mwananchi

10 years ago

Dewji Blog

Nani na nani kuibuka mshindi wa tuzo za Watu usiku huu leo Mei 22!!

TUZO-ZA-WATU-Logo-black-background

Baada ya wiki kadhaa za mpambano mkali wa kura za tuzo za watu, leo ndio fainali.

Majina matatu yanashindania tuzo kwenye vipengele 13 vya mwaka huu. Majina hayo yameingia baada ya kuvuka michujo miwili migumu. Ni kura za mashabiki peke yake ndio ziliwaingiza kwenye fainali hiyo na mshindi atapatikana kwa kura za wananchi, hakuna kingine.

Washereheshaji kwenye fainali hizo ni Vj Penny na mchekeshaji Dogo Pepe huku muimbaji wa kike anayechipukia kwa kasi Ruby akitarajiwa kutumbuiza.

“Watu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani