HOJA YA DHARURA: WABUNGE WATAKA WAZIRI MKUU NA CHIKAWE WAWAJIBISHWE
![](http://api.ning.com:80/files/rUrHnDSl8N8Kh7POqX1Gm7pDYswaGwxckneYoU3hk1V9Mh3NjpekVGeQS7gCwbxg75VyP0sbTrVq4lEd31nuuQZ5n6lYxSij/TunduLissu.jpg?width=650)
Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu. BAADHI ya wabunge waliochangia hoja ya dharura bungeni leo wamewataka Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, wawajibishwe. Hayo yametolewa wakati wa kujadili Hoja ya Dharura kuhusu kupigwa kwa baadhi ya viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) akiwemo mwenyekiti wake, Prof. Ibrahim Lipumba na baadhi ya wanachama wake juzi huko Mtoni-Mtongani jijini...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-9l26CrgDE0Q/U26En-q46oI/AAAAAAAFgsk/DjNEY_CI0go/s72-c/IMG_8783.jpg)
11 years ago
Habarileo29 Dec
Waziri Chikawe ataka uharaka uwasilishaji majina ya wabunge
WAKATI Rais Jakaya Kikwete kesho akitarajiwa kukabidhiwa Rasimu ya pili ya Katiba mpya, Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe ameyataka makundi mbalimbali kuwasilisha haraka majina ya wanaopendekezwa kuingia kwenye Bunge la Katiba, ili Rais afanye uteuzi wake.
11 years ago
MichuziWaziri wa fedha Mhe.Saada Mkuya Kujibu Hoja za Wabunge jioni ya Leo
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-UrXyW_DZEOQ/U5iTg8YwwPI/AAAAAAAFpy8/LaRaFi22RDU/s72-c/unnamed+(66).jpg)
WAZIRI CHIKAWE, IGP NA KAMISHNA MKUU UHAMIAJI ZIARANI CHINA
![](http://1.bp.blogspot.com/-UrXyW_DZEOQ/U5iTg8YwwPI/AAAAAAAFpy8/LaRaFi22RDU/s1600/unnamed+(66).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-NeLkIRNsV5k/U5iThLUulJI/AAAAAAAFpy4/0qSEWLobYjs/s1600/unnamed+(67).jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-TyyM5nxzSxI/Vk2TJuJe8hI/AAAAAAAIGxc/X3iRSkMpi-M/s72-c/20151119010139.jpg)
LIVE KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA LEO: WABUNGE WALIPIGIA KURA JINA LA WAZIRI MKUU MKUU MTEULE
![](http://1.bp.blogspot.com/-TyyM5nxzSxI/Vk2TJuJe8hI/AAAAAAAIGxc/X3iRSkMpi-M/s640/20151119010139.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-av8vBAUHDd8/Vk2ROv1DC0I/AAAAAAAIGwA/A5_pKuAlqag/s640/20151119010428.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-WCd5XojxOHM/Vk2ROsOC44I/AAAAAAAIGv8/xy76_vB_dXg/s640/20151119010513.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-3A78qlmYt8E/Vk2RPlNb_cI/AAAAAAAIGwM/E2bGJ_67cXk/s640/20151119010522.jpg)
11 years ago
MichuziWAZIRI CHIKAWE AKUTANA NA MWAKILISHI MKUU WA KANDA ICRC OFISINI KWAKE JIJINI DAR LEO
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Wh6b0fkgU13MoraFEU*-QLMCPfRweWZIBeRdJtF-6bWu5LmuDyMMWDw1eRC7M-AxdxtoAql*dPwGubitzQPrarW8M68hh5kS/unnamed43.jpg?width=650)
MKUU WA SHIRIKA LA KIMATAIFA LA UHAMIAJI (IOM) NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE DAR
10 years ago
MichuziWAZIRI CHIKAWE AONGOZA KUAGA MWILI WA ALIYEKUWA KAMISHNA MKUU MSTAAFU WA JESHI LA MAGEREZA, ONEL MALISA.
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-tKoRcQH4Iw0/VMH9V7JuruI/AAAAAAAG_I8/ldFoUiUB5O8/s72-c/unnamed%2B(43).jpg)
MKUU WA SHIRIKA LA KIMATAIFA LA UHAMIAJI (IOM) NCHINI AMTEMBELEA WAZIRI CHIKAWE OFISINI KWAKE DAR LEO
![](http://2.bp.blogspot.com/-tKoRcQH4Iw0/VMH9V7JuruI/AAAAAAAG_I8/ldFoUiUB5O8/s1600/unnamed%2B(43).jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-crs0O2xumAc/VMH9W9dmkUI/AAAAAAAG_JE/vjbWroLdqIc/s1600/unnamed%2B(44).jpg)