Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waziri Chikawe ataka uharaka uwasilishaji majina ya wabunge

Mathias ChikaweWAKATI Rais Jakaya Kikwete kesho akitarajiwa kukabidhiwa Rasimu ya pili ya Katiba mpya, Waziri wa Katiba na Sheria, Mathias Chikawe ameyataka makundi mbalimbali kuwasilisha haraka majina ya wanaopendekezwa kuingia kwenye Bunge la Katiba, ili Rais afanye uteuzi wake.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

JK ataka majina ya wabunge wa katiba

RAIS Jakaya Kikwete ametoa mwaliko kwa makundi mbalimbali kwa ajili ya kuwasilisha orodha ya watu wasiopungua wanne na wasiozidi tisa kwa ajili ya kuteuliwa kuwa wajumbe wa Bunge Maalumu la...

 

10 years ago

GPL

HOJA YA DHARURA: WABUNGE WATAKA WAZIRI MKUU NA CHIKAWE WAWAJIBISHWE

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu. BAADHI ya wabunge waliochangia hoja ya dharura bungeni leo wamewataka Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe, wawajibishwe. Hayo yametolewa wakati wa kujadili Hoja ya Dharura kuhusu kupigwa kwa baadhi ya viongozi wa Chama cha Wananchi (CUF) akiwemo mwenyekiti wake, Prof. Ibrahim Lipumba na baadhi ya wanachama wake juzi huko Mtoni-Mtongani jijini...

 

11 years ago

Mwananchi

Majina ya wabunge ‘majangili’ siri kubwa

Utata umeibuka kuhusu wabunge waliotajwa kwenye ripoti ya Kamati ndogo ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Mazingira kuwa wanahusika na biashara ya pembe za ndovu.

 

9 years ago

Dewji Blog

Majina ya wabunge waliogombea na kushinda kiumri

Majina ya wabunge waliogombea na kushinda kiumri

Wabunge Wenye umri wa Miaka Kati ya 21 na 35 wako 47

Wabunge Wenye umri wa Miaka Kati ya 36 hadi 50 wako 112

Wabunge Wenye umri wa Miaka Kati ya 51 na zaidi wako 92.

————

Mbunge kijana zaidi ana miaka 21 na Mbunge mzee kuliko zaidi ana miaka 72

1

2

3

4

5

6

7

List ya Wabunge walioshinda.

 

11 years ago

Mwananchi

JK ateua majina ya wabunge wa bunge la Katiba

>Hatimaye Rais Jakaya Kikwete amekamilisha uteuzi wa majina ya Wajumbe 201 wa Bunge Maalumu la Katiba, litakaloanza vikao vyake Februari 18 mjini Dodoma.

 

10 years ago

Habarileo

Chikawe ataka polisi kuungwa na mkongo bila malipo

WAZIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mathias Chikawe ameiomba Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuviunganisha vituo vyote vya polisi na mkongo wa taifa bila malipo ili kurahisisha mawasiliano kwa Jeshi la Polisi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani