Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIROBA SI CHAI!

NI AIBU! Ndivyo unavyoweza kushangaa baada ya mtu mmoja anayedhaniwa kuwa ni askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) kunywa pombe kiasi cha kupoteza fahamu akiwa na sare za taasisi hiyo inayoheshimika nchini na kujikuta akilala karibu na mtaro, katika stendi kuu ya mabasi mjini Iringa. Anayedhaniwa kuwa mwananjeshi akiwa amelala kwenye mtaro. Habari kutoka eneo la tukio zinasema mtu huyo alipanda basi liitwalo Mgumba...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

CCM Blog

MBUNGE HONGOLI AWATOA HOFU WAKULIMA WA CHAI LUPEMBE KUHUSU MALIPO YAO YA CHAI

Mbunge wa Jimbo la Lupembe, Joramu Hongoli akihutubia mkutano wa hadhara katika Kata ya Lupembe, mkoani Njombe, ambapo pamoja na mambo mengine alisisitiza kuimarisha umoja na mshikamano kati ya wananchi na viongozi mbalimbali ili kurahisisisha kutatua kero na kuleta maendeleo katika Kata hiyo. Pia alizungumzia suluhisho la malipo ya wakulima wa chai wanaovidai viwanda . Aliwatoa hofu kwamba wasiwe na wasiwasi serikali iko pamoja nao na kwamba fedha zao watalipwa hivi punde. Kutoka kulia ni ...

 

5 years ago

Michuzi

MBUNGE HONGOLI AWATOA HOFU WAKULIMA WA CHAI LUPEMBE KUHUSU MALIPO YAO YA CHAI


Mbunge wa Jimbo la Lupembe, Joramu Hongoli akihutubia mkutano wa hadhara katika Kata ya Lupembe, mkoani Njombe, ambapo pamoja na mambo mengine alisisitiza kuimarisha umoja na mshikamano kati ya wananchi na viongozi mbalimbali ili kurahisisisha kutatua kero na kuleta maendeleo katika Kata hiyo. Pia alizungumzia suluhisho la malipo ya wakulima wa chai wanaovidai viwanda . Aliwatoa hofu kwamba wasiwe na wasiwasi serikali iko pamoja nao na kwamba fedha zao watalipwa hivi punde. Kutoka kulia ni ...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Polisi: Tatizo la viroba ni TRA

KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kagera, George Mayunga, amesema watumishi wa Mamlaka ya Mapato (TRA) mkoani hapa wanashirikiana na wafanyabiashara wa pombe kali aina ya viroba wanaokwepa kodi. Kauli ya...

 

10 years ago

Habarileo

Wanafunzi walevi wa gongo, viroba

MKUU wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Novatus Makunga ameelezea hofu yake ya tishio la kukosekana kwa nguvu kazi wilayani humo kutokana na kukithiri kwa wimbi la ulevi, hasa wanafunzi wakiwemo wa shule za msingi wanaodaiwa kunywa kwa kiasi kikubwa pombe aina ya gongo na nyingine za `viroba’.

 

10 years ago

Mwananchi

Kilimanjaro kinara wa pombe ya viroba

> Utafiti mpya umebaini kuwa wakazi wa Mkoa wa Kilimanjaro wanaongoza kwa unywaji wa pombe  hasa ya  viroba,  ikiwa ni mara nne zaidi ya wakazi wanaokunywa pombe katika mikoa ya Mwanza na Geita.

 

11 years ago

Habarileo

Waziri: Viroba ni janga la kitaifa

NAIBU Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene amesema ipo haja ya pombe zinazouzwa zikiwa zimefungwa kwenye mifuko midogo ya plastiki maarufu kama viroba kuondolewa kwani ni janga la taifa linalosababisa ulevi kila eneo.

 

10 years ago

Mtanzania

Snura akwepa ‘viroba’ stejini

snura1NA RHOBI CHACHA

KATIKA hali isiyo ya kawaida msanii wa filamu na muziki, Snura Mushi, alijikuta akirushiwa pombe zilizokuwa katika vifuko vidogo maarufu viroba akiwa jukwaani kama njia ya kumshangilia kwa uchezaji wake.

Snura alipanda jukwaani na kuimba wimbo wake ulioshika chati nchini wa ‘Nimevurugwa’ katika onyesho la miaka 16 ya msanii Juma Nature lililofanyika katika ukumbi wa Dar Live uliopo Mbagala jijini.

Snura akiwa jukwaani, shabiki mmoja alimfuata na kumtunza kiroba kisha idadi...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Kortini kwa viroba feki

WAFANYABIASHARA wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, wakikabiliwa na tuhuma za kuuza katoni 216 za pombe halisi maarufu ‘Viroba’ zinazoonyesha zimetengenezwa na Kampuni ya Mega...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Afa kwa kuzidisha viroba

MKAZI wa Kijiji cha Ibindi, Tarafa ya Nsimbo, wilayani Mlele, Michael Silanda (26), amefariki dunia baada ya kunywa pombe za viroba aina ya Zed kupita kiasi bila kula. Kamanda wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani