Afa kwa kuzidisha viroba
MKAZI wa Kijiji cha Ibindi, Tarafa ya Nsimbo, wilayani Mlele, Michael Silanda (26), amefariki dunia baada ya kunywa pombe za viroba aina ya Zed kupita kiasi bila kula. Kamanda wa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV30 Dec
Serikali kuongeza adhabu kwa wanaovunja sheria kwa kuzidisha mizigo
Serikali inatarajia kuongeza adhabu ya makosa ya uzidishaji mizigo inayosafirishwa kwenye magari kwa njia barabara kuwa kubwa kuliko thamani ya mizigo inayosafirishwa ili kukomesha vitendo vya ukiukaji wa sheria za usafirishaji ambao unasababisha uharibifu wa barabara nchini.
Naibu waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano amesema kabla ya kufanya maamuzi hayo, watakaa na wadau wa barabara kuwashirikisha uamuzi huo ili kuzifanya barababra nchini kuwa salama.
Naibu waziri wa ujenzi, uchukuzi...
9 years ago
Mtanzania04 Sep
Lema mbaroni kwa kuzidisha dk 6 mkutano wa kampeni
NA ELIYA MBONEA, ARUSHA
MGOMBEA ubunge wa Chadema, Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Lema, jana amekamatwa na polisi akidaiwa kuzidisha muda katika mkutano wake wa kampeni na kufanya maandamano bila kibali.
Tukio hilo lilitokea baada ya mkutano huo wa kampeni katika viwanja vya Shule ya Msingi Ngarenaro ambapo Lema alihutubia hadi saa 12:06 badala ya saa 12:00, na aliposhuka jukwaani na kuanza kuondoka, wafuasi wake walianza kumfuata na kusukuma gari lake.
Baada ya hatua chache kutoka uwanjani...
11 years ago
Tanzania Daima13 Mar
Kortini kwa viroba feki
WAFANYABIASHARA wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam, wakikabiliwa na tuhuma za kuuza katoni 216 za pombe halisi maarufu ‘Viroba’ zinazoonyesha zimetengenezwa na Kampuni ya Mega...
11 years ago
MichuziMBOWE ASHIKILIWA KWA MUDA NA JESHI LA POLISI IRINGA, AACHIWA KWA KOSA LA KUZIDISHA MUDA KWENYE MKUTANO WAO WA HADHARA.
9 years ago
Bongo515 Oct
Mcheza kikapu na mume wa zamani wa mdogo wake Kim Kardashian yupo hoi na hajitambui kwa kuzidisha dawa za kulevya
10 years ago
GPLKIBAKA WA BODABODA AFA KWA KUCHOMWA MOTO DAR KWA KUIBA MKOBA
11 years ago
Tanzania Daima03 Jul
Afa kwa kujinyonga
MKAZI wa Yombo, Baraka Nyaulo (20), amekufa kwa kujinyonga kwa kutumia mkanda wa begi alioutundika kwenye kenchi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Englibeth Kiondo, alisema jana kuwa Nyaulo aliyekuwa...
10 years ago
Mwananchi30 Dec
Mwanafunzi afa kwa kunyongwa
11 years ago
Tanzania Daima04 Jan
Afa kwa kugongwa na treni
MKAZI wa Kimara, jijini Dar es Salaam, Frenk Mtandi (32), amefariki dunia baada ya kugongwa na treni ya mizigo. Tukio hilo limetokea juzi katika eneo la Mabibo Bandari Kavu wakati...