Afa kwa kujinyonga
MKAZI wa Yombo, Baraka Nyaulo (20), amekufa kwa kujinyonga kwa kutumia mkanda wa begi alioutundika kwenye kenchi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Englibeth Kiondo, alisema jana kuwa Nyaulo aliyekuwa...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV16 Dec
Polisi Iringa yajivunia kupungua kwa Matukio Ya Kujinyonga
Polisi mkoani Iringa limesema miongoni mwa mambo ya kujivunia ni pamoja na kufanikiwa kupunguza uharifu wa aina mbalimbali yakiwemo matukio ya kujinyonga ambayo yanatajwa kuwa ni desturi ya kabila la Wahehe.
Ulevi na hasira ni miongoni mwa sababu zinazotajwa kuchangia ongezeko la matukio ya kujinyonga ambayo yanaainishwa kuwa ni aina ya ukatili unaodaiwa kufanywa na baadhi ya wenyeji wa mkoa wa Iringa na hivyo kujinyonga kuchukuliwa kama desturi ya kabila la Wahehe..
Wahehe ni miongoni mwa...
10 years ago
GPLKIBAKA WA BODABODA AFA KWA KUCHOMWA MOTO DAR KWA KUIBA MKOBA
11 years ago
Tanzania Daima04 Jan
Afa kwa kugongwa na treni
MKAZI wa Kimara, jijini Dar es Salaam, Frenk Mtandi (32), amefariki dunia baada ya kugongwa na treni ya mizigo. Tukio hilo limetokea juzi katika eneo la Mabibo Bandari Kavu wakati...
11 years ago
Tanzania Daima20 Mar
Mtoto afa kwa kubakwa
MTOTO wa kike mwenye umri wa miaka 13, mkazi wa Kijiji cha Nyangoto, wilayani Tarime, amefariki dunia baada ya kubakwa. Kamanda wa Polisi Tarime na Rorya, Justus Kamugisha, alisema jana...
11 years ago
Habarileo01 Mar
Afa kwa kupigwa na rimu
WATU watatu wamekufa katika matukio tofauti jijini Dar es Salaam, likiwemo la mkazi wa Kimara aliyetambuliwa kwa jina la Ombeni Ndosa (39) kufa baada ya kugongw na rimu.
10 years ago
Mwananchi30 Dec
Mwanafunzi afa kwa kunyongwa
11 years ago
Tanzania Daima09 May
Afa kwa kuzidisha viroba
MKAZI wa Kijiji cha Ibindi, Tarafa ya Nsimbo, wilayani Mlele, Michael Silanda (26), amefariki dunia baada ya kunywa pombe za viroba aina ya Zed kupita kiasi bila kula. Kamanda wa...
11 years ago
Tanzania Daima24 Apr
Fundi afa kwa shoti ya umeme
FUNDI magari, Mohamed Athuman (52), mkazi wa maeneo ya Wandengereko, Mtoni-Mtongani, Dar es Salaam, amefariki dunia juzi kutokana na hitilafu ya umeme katika waya wa chaji ya simu. Kamanda wa...
11 years ago
Habarileo12 Mar
Mtoto afa kwa kuzama bondeni
KARIM Ramadhan (15), mkazi wa Miembe Saba wilayani Kibaha mkoani Pwani, amekufa baada ya kuzama kwenye bonde la shamba la mpunga. Mtoto huyo alizama alipokuwa akicheza na wenzake, ambapo alikuwa akijaribu kuvua samaki kwenye bwawa hilo lililopo Magereza. Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Ulrich Matei alithibitisha tukio hilo. Alisema kabla ya kifo hicho, mtoto huyo alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kifafa.