Afa kwa kupigwa na rimu
WATU watatu wamekufa katika matukio tofauti jijini Dar es Salaam, likiwemo la mkazi wa Kimara aliyetambuliwa kwa jina la Ombeni Ndosa (39) kufa baada ya kugongw na rimu.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLKIBAKA WA BODABODA AFA KWA KUCHOMWA MOTO DAR KWA KUIBA MKOBA
11 years ago
Tanzania Daima03 Jul
Afa kwa kujinyonga
MKAZI wa Yombo, Baraka Nyaulo (20), amekufa kwa kujinyonga kwa kutumia mkanda wa begi alioutundika kwenye kenchi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Englibeth Kiondo, alisema jana kuwa Nyaulo aliyekuwa...
11 years ago
Tanzania Daima09 May
Afa kwa kuzidisha viroba
MKAZI wa Kijiji cha Ibindi, Tarafa ya Nsimbo, wilayani Mlele, Michael Silanda (26), amefariki dunia baada ya kunywa pombe za viroba aina ya Zed kupita kiasi bila kula. Kamanda wa...
10 years ago
Mwananchi30 Dec
Mwanafunzi afa kwa kunyongwa
11 years ago
Tanzania Daima04 Jan
Afa kwa kugongwa na treni
MKAZI wa Kimara, jijini Dar es Salaam, Frenk Mtandi (32), amefariki dunia baada ya kugongwa na treni ya mizigo. Tukio hilo limetokea juzi katika eneo la Mabibo Bandari Kavu wakati...
11 years ago
Tanzania Daima20 Mar
Mtoto afa kwa kubakwa
MTOTO wa kike mwenye umri wa miaka 13, mkazi wa Kijiji cha Nyangoto, wilayani Tarime, amefariki dunia baada ya kubakwa. Kamanda wa Polisi Tarime na Rorya, Justus Kamugisha, alisema jana...
11 years ago
Habarileo12 Mar
Mtoto afa kwa kuzama bondeni
KARIM Ramadhan (15), mkazi wa Miembe Saba wilayani Kibaha mkoani Pwani, amekufa baada ya kuzama kwenye bonde la shamba la mpunga. Mtoto huyo alizama alipokuwa akicheza na wenzake, ambapo alikuwa akijaribu kuvua samaki kwenye bwawa hilo lililopo Magereza. Kamanda wa Polisi mkoani Pwani, Ulrich Matei alithibitisha tukio hilo. Alisema kabla ya kifo hicho, mtoto huyo alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa kifafa.
10 years ago
Tanzania Daima06 Dec
Afa kwa radi akienda kilabuni
MKAZI wa kitongoji cha Ngena, wilayani hapa, Watsoni Mwakiposa (80) amefariki dunia baada ya kupigwa na radi akielekea kwenye kilabu cha pombe. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Ofisa Mtendaji...
11 years ago
Habarileo20 Feb
Afa kwa kunaswa na umeme kazini
MFANYAKAZI wa kiwanda cha MCL kilichopo Temeke, Joseph Fedolini (40), amekufa papo hapo baada ya kunaswa na umeme wakati akiwa kazini. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Engelbert Kiondo alisema kifo hicho kilitokea jana usiku katika kiwanda hicho kilichopo maeneo ya Chang'ombe Viwandani.