Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Afa kwa radi akienda kilabuni

MKAZI wa kitongoji cha Ngena, wilayani hapa, Watsoni Mwakiposa (80) amefariki dunia baada ya kupigwa na radi akielekea kwenye kilabu cha pombe. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Ofisa Mtendaji...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

MTOTO AFA MAJI AKIENDA KANISANI

Stori: Dustan  Shekidele,Morogoro MTOTO Prince lsaack (10) mwanafunzi wa darasa la 5, mkazi wa Kata ya Kihonda, Maghorofani mkoani hapa, amefariki dunia wakati akiogelea mtoni na wenzake. Mwili wa Prince lsaack ukiwa unaelea majini. Prince alifikwa na mauti Jumapili iliyopita saa 7 mchana wakati akienda kanisani lakini kabla ya kufika huko waliamua kuogelea katika Mto Ngerengere bila kujua hatari iliyokuwa mbele yake.
...

 

10 years ago

Vijimambo

Kauli ya LOWASSA Yaleta Gumzo 'Maskini Akienda IKULU Ataiba si Ndio? Tajiri Akienda Ikulu Atawapa watu Mbinu za Utajiri'


Kweli au si kweli? Maskini akienda IKULU ataiba si ndio? Tajiri akienda Ikulu atawapa watu mbinu za utajiri....ama, maskini akienda ataongoza kwa kuelewa matatizo ya wananchi wake na kuwapa kipaumbele...na tajiri yeye hatajali kundi la maskini wanahitaji nini maana hajui umaskini unafananaje?? Vyovyote vile!! Bado tunasikiliza na kupima sera za wagombea wote...

 

5 years ago

CCM Blog

MAJALIWA AWASILI NACHINGWEA AKIENDA RUANGWA KWA ZIARA YA KIKAZI

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Nachingwea akiwa njiani kwenda  Ruangwa kwa ziara ya kikazi, Juni 20, 2020.  Wa pili kushoto ni mkewe Mary na kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Godfrey Zambi, wakati walipowasili kwenye uwanja wa ndege wa nachingwea akiwa njiani kwenda Ruangwa kwa ziara ya kikazi Juni 20,...

 

10 years ago

Michuzi

NEWZZ ALERT; WALIOFARIKI KWA RADI MKOANI KIGOMA WAAGWA KWA MAZISHI MCHANA HUU.

  Miili ya Wanafunzi sita na Mwalimu ikiwa tayari kwa kuagwa katika viwanja vya shule ya Msingi Kibirizi mkoani Kigoma .  WATU wanane wakiwemo wanafunzi sita na mwalimu wa shule ya msingi kibirizi mmoja pamoja na mtu wa kawaida mkazi wa eneo la Bangwe mjini hapo  walipoteza maisha hapo jana baada ya kupigwa na radi huku wanafunzi wengine 15 kujeruhiwa na radi hiyo.
  Mkuu wa Mkoa wa Kigoma,Kanali Mstaafu Issa Machibya akisoma salamu za rambi rambi za mkoa wakati wa kuaga miili ya Wanafunzi na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

17 wajeruhiwa kwa radi Mwanza

WANAFUNZI 17 wa Shule ya Sekondari ya Kabuholo wilayani Ilemela jijini Mwanza, wamejeruhiwa na radi. Tukio hilo limetokea jana asubuhi ambapo radi iliwapiga wanafunzi 15 wa kidato cha nne, mmoja...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mama, mtoto wafa kwa radi Mpanda

MAMA na mtoto wake, wakazi wa Kijiji  cha Mnyagala,  Tarafa ya Kabungu, Wilaya ya Mpanda, mkoani Katavi, wamefariki dunia baada ya kupigwa na radi wakiwa njiani  kuelekea nyumbani kwao. Waliokufa...

 

10 years ago

GPL

WALIOFARIKI KWA RADI MKOANI KIGOMA WAAGWA

Miili ya wanafunzi sita, Mwalimu mmoja na mkazi wa eneo la Bangwe ikiwa tayari kwa kuagwa katika viwanja vya shule ya Msingi Kibirizi mkoani Kigoma. Wanajeshi wa JWTZ wakiingiza miili ya marehemu katika viwanja vya shule ya msingi Kibirizi kwa ajili ya kutoa heshima za mwisho. Watu wanane wakiwemo wanafunzi sita wa shule ya msingi Kibirizi, mwalimu mmoja pamoja mkazi wa eneo la Bangwe mjini hapo walipoteza maisha hapo jana...

 

10 years ago

StarTV

Watu wanane wafariki, 15 kujeruhiwa kwa Radi Kigoma.

Na Richard Katunka,

Kigoma.

 

Watu wanane wamefariki dunia na wengine 15 kujeruhiwa baada ya kupigwa na radi kwenye mvua kubwa iliyonyesha mjini Kigoma kwa saa tatu.

 

Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kigoma Maweni Dokta Fadhili Kibaya amewataja waliofariki kuwa ni pamoja na Yusuf Athuman, Hassan Ally, Fatuma Sley, Zamda Seif, Shukrani Yohana na Warupe Kapupa ambao ni wanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya msingi Kibirizi.

 

Mwalimu aliyefariki ametambuliwa kwa jina la...

 

10 years ago

Mwananchi

Miili minane ya waliofariki dunia kwa radi yaagwa

Vilio na simanzi jana vilitawala katika Manispaa ya Kigoma Ujiji wakati salamu za mwisho zikitolewa kwa miili ya watu wanane waliofariki dunia juzi kwa kupigwa na radi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani