MTOTO AFA MAJI AKIENDA KANISANI
![](http://api.ning.com:80/files/nc61tuPNc3Paa8dgNGDwrojvMnLLowspsNedNIi1099FUpy6-kiuqBP6b8PE-3W-SY4XOe59Em7RtHhIna5nVsEp9hFV6ZbC/MMMM.jpg)
Stori: Dustan Shekidele,Morogoro MTOTO Prince lsaack (10) mwanafunzi wa darasa la 5, mkazi wa Kata ya Kihonda, Maghorofani mkoani hapa, amefariki dunia wakati akiogelea mtoni na wenzake. Mwili wa Prince lsaack ukiwa unaelea majini. Prince alifikwa na mauti Jumapili iliyopita saa 7 mchana wakati akienda kanisani lakini kabla ya kufika huko waliamua kuogelea katika Mto Ngerengere bila kujua hatari iliyokuwa mbele yake. ...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima02 May
Mtoto afa maji
MTOTO Yunus Abijan (4) mkazi wa Keko Mwanga, Dar es Salaam, amefariki dunia baada ya kutumbukia kwenye kisima cha maji. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Englibert Kiondo, alisema juzi...
11 years ago
Tanzania Daima04 Mar
Mtoto afa maji Mto Kizinga
MTOTO Khamis Sungura (11) mkazi wa Mbagala Kiburugwa jijini Dar es Salam amefariki dunia juzi baada ya kuzolewa na maji yaliyokuwa yakitiririka kuelekea Mto Kizinga kutokana na mvua zilizokuwa zikinyesha....
10 years ago
Tanzania Daima06 Dec
Afa kwa radi akienda kilabuni
MKAZI wa kitongoji cha Ngena, wilayani hapa, Watsoni Mwakiposa (80) amefariki dunia baada ya kupigwa na radi akielekea kwenye kilabu cha pombe. Akizungumza na waandishi wa habari jana, Ofisa Mtendaji...
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-YB13EO7o7ug/VYGQSC-81nI/AAAAAAAAv2w/ozIl4BQTOI4/s72-c/LOWASSA%2BIKULU.jpg)
Kauli ya LOWASSA Yaleta Gumzo 'Maskini Akienda IKULU Ataiba si Ndio? Tajiri Akienda Ikulu Atawapa watu Mbinu za Utajiri'
![](http://2.bp.blogspot.com/-YB13EO7o7ug/VYGQSC-81nI/AAAAAAAAv2w/ozIl4BQTOI4/s640/LOWASSA%2BIKULU.jpg)
Kweli au si kweli? Maskini akienda IKULU ataiba si ndio? Tajiri akienda Ikulu atawapa watu mbinu za utajiri....ama, maskini akienda ataongoza kwa kuelewa matatizo ya wananchi wake na kuwapa kipaumbele...na tajiri yeye hatajali kundi la maskini wanahitaji nini maana hajui umaskini unafananaje?? Vyovyote vile!! Bado tunasikiliza na kupima sera za wagombea wote...
11 years ago
Tanzania Daima03 Jun
Mwanaume afa maji
WATU wawili wameripotiwa kufariki dunia jijini Dar es Salaam juzi katika matukio tofauti likiwemo la kufa maji. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Englibert Kiondo, alisema juzi saa 10 jioni,...
11 years ago
Tanzania Daima31 Mar
Mwanachuo afa maji
MWANAFUNZI wa Chuo cha Utumishi jijini Dar es Salaam, Deus Josephat (21), mkazi wa Mjimwema, amefariki dunia alipokuwa akiogelea na wenzake ufukweni mwa Bahari ya Hindi eneo la Maweni Beach...
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Afa maji Sikukuu ya Krismasi Tanga
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/1VJR9F-zilrh38bE6Ou0BwfOIifOK-viguhtPwf3Z5qjbDLC0TJv6J6ZNWqsdUMl4wl33w284kE*6*1*lHRIHUypvnGnGu6y/mchungaji.jpg)
MTOTO WA MCHUNGAJI, MWANAKWYA KANISANI WANASWAKICHAKANI
11 years ago
Habarileo15 Jul
Mtoto afa kisimani Dar
MTOTO Omar Said, mwenye umri wa miaka mitatu, amekutwa amekufa baada ya kutumbukia ndani ya kisima cha maji.