MTOTO WA MCHUNGAJI, MWANAKWYA KANISANI WANASWAKICHAKANI
Na Francis Godwin, Iringa “UTAN’TAMBUAJE kama nimeokooka, utantambuaje kama namuheshimu Mungu…†Wimbo huu wa Injili ulioimbwa na Bony Mwaitege wengi hupenda kuusikiliza kama burudani lakini una ujumbe mzito hasa kwa wale wanaosema wameokoka. Wanakwaya wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God, Hanipher na Godfrey (mtoto wa mchungaji) walionaswa wakiwa kichakani. Hivi karibuni mjini Iringa,...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMTOTO AFA MAJI AKIENDA KANISANI
11 years ago
GPLMTOTO ALIYEJERUHIWA KATIKA SHAMBULIO KANISANI AFIKISHWA NAIROBI KWA MATIBABU
9 years ago
Habarileo16 Dec
Mchungaji, mkewe wamfungia ndani mtoto kwa miaka 12
POLISI mkoani Singida inamshikilia Mchungaji wa Kanisa la Pentekoste Itaja na mkewe kwa tuhuma za kumfungia ndani ya chumba mtoto wao mlemavu wa viungo kwa miaka 12 bila kutoka nje.
5 years ago
MichuziMchungaji Rose achangia gharama za matibabu ya mtoto anayetibiwa JKCI
Mkuu wa kitengo cha Ustawi wa Jamii na Lishe wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Asha Salum akimkabidhi Mr. Jackson Msilambo Tsh. 4,370,000/= zilizotolewa na Mchungaji Rose Shaboka kutoka kanisa la New Day Church kwa ajili ya gharama za matibabu ya mtoto wake anayetibiwa JKCI leo Jijini Dar es Salaam. Baba wa mtoto anayetibiwa katika ...
10 years ago
VijimamboMCHUNGAJI GWAJIMA ADAI MTOTO ALIEJIFUNGUA FLORA MBASHA SIYO WAKE
Huyu ndiyo mtoto alie jifungua Flora Mbasha, mchungaji Gwajima aruka kimanga na kukana kuwa mtoto huyu siyo wake na kusema kuwa (It doesn't hold water) akiwa na maana haina mashiko. Mbasha nae alivyoulizwa juu ya mtoto huyu majibu yake aliyajibu kwa kutuma ujumbe wa wimbo huu wa injili hadi sasa watu wanashindwa kupata ukweli wa nani baba wa mtoto huyu lakini mwenye majibu ya maswali yote ni mwenyewe Flora Mbasha. Jitiririshe na wimbo wa Emmanuel Mbasha hapa chini kama majibu ya wale wote...
9 years ago
Dewji Blog16 Dec
Mchungaji wa kanisa akamatwa kwa tuhuma ya kumficha ndani mtoto wake kwa miaka 12
Kijana mkazi wa kijiji cha Itaja tarafa ya Mgori wilayani Singida, Timotheo David (30), akiwa amelazwa wodi namba nne hospitali ya mkoa wa Singida baada ya kuletwa na jeshi la polisi siku mbili zilizopita. Inadaiwa kuwa Timotheo baada ya kuugua Malaria kali mwaka 2003 na kuchanganyikiwa akili, alifungiwa ndani chumbani toka wakati huo hadi juzi alipotolewa na polisi na kuletwa hospitalini. Kwa mujibu wa Kaimu Mganga mfawidhi hospitali ya mkoa, Dk.Napaiya Petro, Timotheo hana ugonjwa wo wote...
10 years ago
GPLMAINDA AGOMBANA KANISANI
11 years ago
GPLMASTAA WAOMBEWA KANISANI