Mchungaji wa kanisa akamatwa kwa tuhuma ya kumficha ndani mtoto wake kwa miaka 12
Kijana mkazi wa kijiji cha Itaja tarafa ya Mgori wilayani Singida, Timotheo David (30), akiwa amelazwa wodi namba nne hospitali ya mkoa wa Singida baada ya kuletwa na jeshi la polisi siku mbili zilizopita. Inadaiwa kuwa Timotheo baada ya kuugua Malaria kali mwaka 2003 na kuchanganyikiwa akili, alifungiwa ndani chumbani toka wakati huo hadi juzi alipotolewa na polisi na kuletwa hospitalini. Kwa mujibu wa Kaimu Mganga mfawidhi hospitali ya mkoa, Dk.Napaiya Petro, Timotheo hana ugonjwa wo wote...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo16 Dec
Mchungaji, mkewe wamfungia ndani mtoto kwa miaka 12
POLISI mkoani Singida inamshikilia Mchungaji wa Kanisa la Pentekoste Itaja na mkewe kwa tuhuma za kumfungia ndani ya chumba mtoto wao mlemavu wa viungo kwa miaka 12 bila kutoka nje.
10 years ago
Mtanzania22 May
Mtoto akamatwa kwa tuhuma za kumuua mwenzake
NA RAMADHAN LIBENANGA, MOROGORO
JESHI la Polisi Mkoa wa Morogoro linamshikilia mwanafunzi wa kidato cha kwanza katika Shule ya Sekondari Kolla Hill, Judith Chomile (15) kwa tuhuma za mauaji.
Mwanafunzi huyo anadaiwa kumnyonga ndugu yake, Edrin Mafwele (9) ambaye ni mwanafunzi wa Shule ya Msingi Benard Bendel iliyopo Manispaa ya Morogoro.
Tukio hilo lilitokea juzi usiku wakati watoto hao walipokuwa nyumbani kwao.
Baba wa marehemu Edrin Mafwere aliyefahamika kwa jina la Barnabas Mafwele, mkazi...
5 years ago
CCM BlogMTOTO WA MIAKA 17 MIKONONI MWA POLISI KWA KWA TUHUMA ZA KUMUUA BABA YAKE
Akizungumza na waandishi wa habari jana, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, Wilbroad Mutafungwa, alidai kuwa Mei 31, saa 12 alfajiri Kitongoji cha Manyani, Kata ya Mkalama wilayani Gairo, mtu aliyejulikana kwa jina la Issaya Lameck (41), maarufu kama Kusaganika, fundi Muwashi, aliuawa kwa kupigwa na mtoto wake mwenye miaka 17 (jina linahifadhiwa kwa sababu za kimaadili).
Kamanda Mutafungwa...
10 years ago
CloudsFM16 Jan
MBUNGE MACHEMLI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA ZA KUTOMLIPA MSHAHARA MFANYAKAZI WAKE KWA MIAKA MITATU.
Machemuli amefunguliwa shauri la madai katika mahakama hiyo na kupewa nakala ya kuitwa yenye Na MCA/MZ/UK/524/2014 katika mahakama hiyo baada ya kufunguliwa kesi na Rehema Hamis (Mhudumu) kwa madai ya kutomlipa mshahara wake kwa miezi 35 ikiwa ni kiasi cha Sh milioni 3,680,000 alizotakiwa...
5 years ago
BBCSwahili06 May
Mtoto wa miaka mitano akamatwa Marekani akiendesha gari la wazazi wake
10 years ago
Michuzi16 Mar
11 years ago
Michuzi24 May
11 years ago
Mwananchi01 Jun
Mtoto wa miaka mitatu amuua mdogo wake kwa risasi