MCHUNGAJI GWAJIMA ADAI MTOTO ALIEJIFUNGUA FLORA MBASHA SIYO WAKE
![](http://img.youtube.com/vi/03AO119erRM/default.jpg)
Huyu ndiyo mtoto alie jifungua Flora Mbasha, mchungaji Gwajima aruka kimanga na kukana kuwa mtoto huyu siyo wake na kusema kuwa (It doesn't hold water) akiwa na maana haina mashiko. Mbasha nae alivyoulizwa juu ya mtoto huyu majibu yake aliyajibu kwa kutuma ujumbe wa wimbo huu wa injili hadi sasa watu wanashindwa kupata ukweli wa nani baba wa mtoto huyu lakini mwenye majibu ya maswali yote ni mwenyewe Flora Mbasha. Jitiririshe na wimbo wa Emmanuel Mbasha hapa chini kama majibu ya wale wote...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mtanzania05 Feb
Gwajima, Flora Mbasha wafunguka
Elias Msuya na Fredy Azzah, Dar es Salaam
SIKU chache baada ya picha za mtoto mchanga kusambazwa katika mitandao ya kijamii na kudai kuwa ni za mtoto wa mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini, Flora Mbasha kuwa amezaa na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima hatimaye wawili hao wamefunguka.
Hatua hiyo imekuja miezi saba tangu wawili hao walipoingia katika mgogoro wa ndoa yao hali iliyosababisha mume wa Flora, Emmanuel Mbasha kufikishwa mahakamani kwa kosa la...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-r3Zb89jQK30/VWH6lI3xNgI/AAAAAAAAUAM/2Erv0rKuGEM/s72-c/Flora%2Bm%2Bbasha1.jpg)
GWAJIMA, FLORA MBASHA WAIBUKIA MKUTANO WA CHADEMA KAWE, NI ULE WA KUZINDUA KITABU CHA MBUNGE HALIMA MDEE
![](http://1.bp.blogspot.com/-r3Zb89jQK30/VWH6lI3xNgI/AAAAAAAAUAM/2Erv0rKuGEM/s640/Flora%2Bm%2Bbasha1.jpg)
MCHUNGAJI wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima, na mwibaji nguli wa muziki wa Injili Flora Mbasha, leo hii alasiri Mei 24, wameibukia kwenye mkutano wa hadhara wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA.
Wakati Gwajima alihutubia, Mbasha alitumbuiza kwenye mkutano huo uliokuwa wa kuzindua kitabu cha Mbunge wa jimbo la Kawe (CHADEMA), Flora Mbasha chenye kichwa cha habari "Utekelezaji wa...
10 years ago
Mtanzania12 Feb
Mbasha: Flora anaujua ukweli wa mtoto
Veronica Romwald na Mwajuma Mazao, Dar es Salaam
HATIMAYE mwimbaji wa nyimbo za Injili nchini, Emmanuel Mbasha, ameibuka na kuweka wazi suala la mgogoro wa mtoto na mkewe Flora Mbasha.
Hatua hiyo imekuja miezi saba tangu wawili hao walipoingia katika mgogoro wa ndoa yao hali iliyosababisha Mbasha kufikishwa mahakamani kwa kosa la ubakaji.
Hivi karibuni, picha za mtoto mchanga zilisambazwa katika mitandao ya kijamii na kudaiwa kuwa ni wa Flora aliyezaa na Mchungaji Kiongozi wa Kanisa la...
10 years ago
Vijimambo06 Feb
MTOTO WA WA FLORA MBASHA AIBUA MAZITO
![](http://api.ning.com/files/hMNECPNor9-zFhxQmEL793PAvWZrf50-PD65j5xw57RORqvWt6-tqvWX53JCFj2c5rEH7RMva*B7Jfy0DFFdIzpUVKXIMMA7/IMG20150204WA0004.jpg?width=650)
MSHTUKO KWANZABaadhi ya mitandao ya kijamii ilitundika picha ya Flora akiwa kitandani hospitalini na kichanga chake huku watu wakitupia maneno yenye kuonesha mshtuko, kama vile:“He! Kwani Flora alikuwa na mimba? Mbona alikuwa kawaida sana?”“Wanawake wengine wameumbwa hivyo, matumbo yao hayawi makubwa. Nampa hongera kwa kujifungua.”“He! Jamani! Dada Flora kajifungua kweli au ni igizo? Maana...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/hMNECPNor9-XM8lW5KcwnYVFLbtt4Wx8NwhsFT-bsLvI-IDV8lPyMEIT0VUpeqoUaJI4n2p2NB3*qFRmzLPJ0QmHHB9Hiijq/FRONT.jpg?width=650)
MTOTO WA FLORA MBASHA AIBUA MAZITO
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/HfIXzVrPfI3uOtXrrNbf5IpZqXZIu-V6PZSjijdbBhggcJP-2EP1bbbVdpd*TVyG2uu1q*vqTaLpW-D-KROImfZgpJoZBJQ8/flora_mbasha5.jpg)
FLORA MBASHA AKIRI: MWANANGU SI WA MBASHA!
10 years ago
Bongo519 Jan
H.Baba na mke wake Flora Mvungi wanatarajia kupata mtoto wa pili
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-giQBJDM2wM8/VL9qpB2hv0I/AAAAAAADWPU/t6rahjXgMtg/s72-c/Flora-Mbasha-Xmass-Card.jpg)