Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASTAA WAOMBEWA KANISANI

Stori: Shani Ramadhani na Chande Abdallah VIFO mfululizo vya mastaa wa filamu za Kibongo vinaumiza, vinatisha na vinawanyima usingizi wasanii ambapo sasa wameamua kuitikia wito na kuingia kanisani kuombewa, Risasi Mchanganyiko lina mkoba wenye kila kitu. ...Maombi mazito yakifanyika kwa Dotnata kutoka kwa Mchungaji Mbeyela.  Wasanii waliotangulia mbele za haki kwa kufuatana ni Adam Kuambiana, Sheila Leo Haule...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MASTAA WAKIMBILIA KANISANI KUJISALIMISHA

Stori: Waandishi Wetu
HUKU maajabu mengi yakiendelea kutokea kila kukicha na hivyo kuashiria mwisho wa dunia unakaribia, mastaa kibao wa filamu wameonekana kujisalimisha kanisani na kuhudhuria ibada ya kiroho ya Inuka Uangaze maeneo ya Vatican -Sinza jijini Dar es Salaam. Mc Pilipili. Chanzo makini kilicho ndani ya kanisa hilo kilisema kwamba wasanii wengi wamevutiwa na huduma hiyo ambayo maombi yake hufanyika kila Jumanne na...

 

10 years ago

BBCSwahili

Wanachuo wa Garissa waombewa.

Wakristo nchini Kenya wametumia misa za sikukuu ya pasaka kuwaomboleza wanafunzi wa chuo kikuu cha Garissa.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Nyota watano waombewa ITC

WACHEZAJI watano wameombewa Hati ya Uhamisho ya Kimataifa (ITC) Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kuwawezesha kucheza soka ya kulipwa nje ya Tanzania. Ofisa habari wa TFF, Boniface Wambura, aliwataja nyota...

 

11 years ago

Dewji Blog

Waliopoteza maisha katika ajali Ikungi waombewa

DSC08218

Diwani wa kata ya Mungaa Matheo Alex akizungumza kwenye hafla ya sala kuwaombea watu waliopoteza maisha baada ya kugongwa na basi la kampuni ya summary aprili 28 mwaka huu.Sala hiyo maalum,imefanyika jana eneo ilikotokea ajali hiyo.

DSC08209

Mke wa marehemu mwenyekiti wa kijiji cha Utaho Paulo Hamisi (41) aliyefariki dunia kwa kugongwa na basi la Summry Aprili 28 mwaka huu. DSC08213 Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Utaho tarafa ya Ihanja wilaya ya Ikungi,waliohudhuria sala maalum ya kuwaombea ndugu...

 

10 years ago

GPL

ISHU YA MASTAA KUJIUZA CATHY AWALAUMU MASTAA WA KIUME

Na Mayasa Mariwata
MKONGWE kwenye tasnia ya filamu Bongo, Subrina Rupia ‘Cathy’ amewalaumu vikali mastaa wa kiume Bongo kuwa ndiyo chanzo kikubwa cha tasnia kutawaliwa na mastaa wa kike wanaojiuza. Mkongwe kwenye tasnia ya filamu Bongo, Subrina Rupia ‘Cathy’ Akizungumzia kuhusiana na kuwepo kwa madai ya wasanii wa kike Bongo Movie kujiuza, Cathy alisema hawezi kuweka wazi kama anawajua wahusika au...

 

10 years ago

Mwananchi

Mungu yuko kanisani

Uendapo kanisani, la kwanza magoti chini, Chini weka kwa imani, akurehemu Manani, Manani ya kanisani, kusamehe waumini, Waumini muamini,  Mungu yuko kanisani.  

 

10 years ago

GPL

JB BETHIDEI YANGU NI KANISANI TU!

Stori: Mayasa Mariwata LEGENDARY wa sinema za Kibongo, Jacob Steven ‘JB’ amesema kuwa, miongoni mwa vitu ambavyo vimemkalia kushoto ni kusherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kufanya sherehe, yeye siku zote hufanyia kanisani kwa kufanya maombi. Legendary wa sinema za Kibongo, Jacob Steven ‘JB’ Msanii huyo ambaye siku chache zilizopita alitimiza miaka kadhaa ambayo hakuwa tayari kuiweka wazi, alisema...

 

10 years ago

GPL

MAINDA AGOMBANA KANISANI

Stori: Shani Ramadhani MADAI mazito! Super lady wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’ anadaiwa kugombana na muumini  mwenzake kwenye kanisa analoabudu kwa sasa, Amani  limedokezwa. Super lady wa sinema za Kibongo, Ruth Suka ‘Mainda’. TUJIUNGE NA MTOA HABARI Kwa mujibu wa chanzo makini, tukio hilo la aina yake lilijiri kwenye kanisa hilo la kiroho lililopo chini ya mchungaji wake aliyetajwa kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani