Mungu yuko kanisani
Uendapo kanisani, la kwanza magoti chini, Chini weka kwa imani, akurehemu Manani, Manani ya kanisani, kusamehe waumini, Waumini muamini, Mungu yuko kanisani. Â
Mwananchi
Habari Zinazoendana
5 years ago
BBCSwahili04 Jun
Vitisho wanavyopokea Wasomali wasioamini kwamba Mungu yuko
Ayaanle na Kahaa hufanya kazi katika mtandaokuwasaidia Wasomali ambao wana maoni yanayokinzana na utamaduni
11 years ago
GPLMUACHE MUNGU AITWE MUNGU NA KAMA HUJAFA HUJAUMBIKA
Elisha Bahunde akiwa chumba # 8 ghorofa ya 6 alipolazwa tangia siku ya Jumatano Feb 19, 2014 alipoletwa Maryland kwa matibabu zaidi
Elisha Bahunde au Eric akiwa hana miguu wa mkono kama picha inavyoonyesha.…
5 years ago
CCM Blog
KANISA HALISI LA MUNGU BABA LINAWAKARIBISHA WATU WOTE KWENYE HIJA YA CHANZO HALISI CHA MUNGU BABA, MJINI KIGOMA 26 THEBETI,1(26 APRILI,2020)

Sauti Mpya(2019) ambayo imetangaza kuwa Tanzania ni Taifa Baba ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo imetangaza kuwa Afrika ni Bara la Nuru ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya zile Sauti Saba ilisikika Kigoma-Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya ishara tatu mbinguni (Ufunuo 12:1-9) ilisikika Kigoma–Tanzania; Sauti Mpya ambayo ni zaidi ya Nafsi ya Moyo (Miungu tisa mitakatifu iliyofafanuliwa ndani ya Kitabu) ilisikika...
10 years ago
Mwananchi06 Feb
Job Ndugai yuko wapi?
>Wananchi mbalimbali wamekuwa wakiuliza alipo Naibu Spika Job Ndugai, ambaye tangu kuanza kwa mkutano wa 18 wa Bunge la Muungano hajaongoza kikao chochote kwani mara kadhaa chombo hicho kimekuwa kikitumia wenyeviti wakati Spika, Anne Makinda anapokuwa na majukumu mengine.
10 years ago
Mwananchi12 Aug
Daktari: Mbowe yuko salama
Siku moja baada ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe kuugua ghafla akiwa kwenye maandaamano na kuwahishwa hospitali ya Taifa Muhimbili, imebainika kuwa hali hiyo imesababishwa na kufanya kazi kwa muda mrefu bila kupumzika.
10 years ago
BBCSwahili04 Feb
10 years ago
BBCSwahili14 May
Rais Pierre Nkurunziza yuko wapi?
Rais wa Burundi, Pierre Nkurunziza, inasemekana ameondoka nchini Tanzania saa moja baada ya kupatikana taarifa za kupinduliwa kwake
10 years ago
BBCSwahili01 Apr
Rummenigge:Blatter yuko tayari kubadilika
Rais wa FIFA Sepp Blatter yuko tayari kubadilika,kulingana na mtu anayewakilisha zaidi ya vilabu 200 barani Ulaya.
11 years ago
BBCSwahili03 Apr
Waziri mkuu wa Malaysia yuko Australia
Waziri mkuu wa Malaysia amewashukuru wote wanaosaidia kuitafuta ndege ya Malaysia MH370 iliyotoweka wiki 3 ziliyopita
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
08-May-2025 in Tanzania