Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waliopoteza maisha katika ajali Ikungi waombewa

DSC08218

Diwani wa kata ya Mungaa Matheo Alex akizungumza kwenye hafla ya sala kuwaombea watu waliopoteza maisha baada ya kugongwa na basi la kampuni ya summary aprili 28 mwaka huu.Sala hiyo maalum,imefanyika jana eneo ilikotokea ajali hiyo.

DSC08209

Mke wa marehemu mwenyekiti wa kijiji cha Utaho Paulo Hamisi (41) aliyefariki dunia kwa kugongwa na basi la Summry Aprili 28 mwaka huu. DSC08213 Baadhi ya wananchi wa kijiji cha Utaho tarafa ya Ihanja wilaya ya Ikungi,waliohudhuria sala maalum ya kuwaombea ndugu...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

VODACOM YAWALILIA MASHABIKI WA SIMBA WALIOPOTEZA MAISHA KWENYE AJALI MOROGORO

Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania imetuma salama za rambirambi kwa familia za washabiki wa timu ya Simba waliopoteza maisha katika ajali ya gari jana mkoani Morogoro wakiwa safarini kuelekea mkoani Shinyanga kuishangilia timu yao dhidi ya Kagera Sugar.
Meneja Uhusiano wa Vodacom Matina Nkurlu katika taarifa yake aliyoitoa kwa niaba ya kampuni amesema kuwa msiba huu ni mzito kwa watanzania na wapenzi wa soka kwa ujumla.
“Vodacom Tanzania kama mdhamini Mkuu wa ligi kuu ya soka ya...

 

11 years ago

Bongo5

Simu za abiria waliopoteza maisha kwenye ajali ya ndege ya MH17 zinapokelewa na watu walioziiba

Familia za abiria waliopoteza maisha kwenye ajali ya ndege ya MH17 wanasema simu za wapendwa wao zinapokelewa na wezi waliozichukuia kwenye eneo ilipoangakua ndege hiyo nchini Ukraine. Baadhi ya vitu vilivyosambaa baada ya ndege hiyo kudunguliwa na kuanguka Ndugu hao waliopiga simu za wapendwa wao, wameliambia gazeti moja la Uholanzi kuwa simu hizo zinapokelewa na […]

 

10 years ago

Michuzi

FLAVIANA MATATA FOUNDATION YAADHIMISHA TENA IBADA YA KUWAKUMBUKA WALIOPOTEZA MAISHA KWENYE AJALI YA MV BUKOBA

UKIWA NI MWAKA WA 19 TANGU AJALI YA MV BUKOBA ITOKEE FLAVIANA MATATA KUPITIA MFUKO WA FLAVIANA MATATA FOUNDATION AMBAYO IMEKUWA IKIADHIMISHA KWA KUSOMA IBADA NA KUKUMBUKA WAHANGA HAO AKIWEMO MAMA YAKE MZAZI. 
MWAKA WA NNE SASA FMF IKIWA INAFANIKISHA IBADA IYO AMBAPO ILISOMWA KATIKA KANISA LA NYAKAHOJA JIJINI MWANZA NA KISHA KUMALIZIA IBADA IYO KATIKA MAKABURI HAYO YALIYOPO IGOMA JIJINI MWANZA.
FLAVIANA MATATA FOUNDATION INAPENDA KUWASHURU TEAM YA ZALENDO TANZANIA , MARINE SERVICE KWA...

 

11 years ago

GPL

IDADI YA WATU WALIOPOTEZA MAISHA KATIKA MAPOROMOKO MAREKANI YAFIKIA 14

Waokoaji wakitafuta watu waliopotea katika maporomoko. MAOFISA wa utawala katika jimbo la Washington nchini Marekani, wamepata miili sita zaidi baada ya maporomoko ya ardhi yaliyotokea siku ya Jumamosi. Hii imefikisha idadi ya watu waliofariki kutokana na maporomoko hayo hadi 14. Watu 176 bado hawajapatikana baada ya ukuta wa matope wenye urefu wa futi 177 kuporomoka karibu na mji wa Oso, Kaskazini mwa Seattle. Zoezi la uokoaji...

 

11 years ago

GPL

42 WAPOTEZA MAISHA KATIKA AJALI PAKISTAN

Tela la trekta likiondolewa eneo la ajali. Ramani ikionyesha eneo ilipotekea ajali. WATU 42 wamepoteza maisha wakati 17 wakijeruhiwa baada ya basi la abiria lililokuwa likielekea Karachi nchini Pakistan kugongana na trekta lililokuwa na tela. Miongoni mwa waliopoteza maisha ni watoto 14 na wanawake 13. Ajali hiyo imetokea leo katika mji wa Sukkur, umbali wa kilomita 425 kutoka Karachi. Dereva wa basi amefariki papo hapo wakati...

 

11 years ago

Mwananchi

Watu saba wapoteza maisha katika ajali

Watu saba wamefariki dunia papo hapo katika ajali ya barabarani iliyotokea usiku wa kuamkia Januari 5 mwaka huu katika eneo la Mti mmoja, wilayani Monduli.

 

10 years ago

Vijimambo

UMOJA WA MATAIFA WA WAENZI WALINDA WA AMANI WALIOPOTEZA MAISHA 2014

 Maura Mwingira, Charge d' affaires a.i wa Uwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, akipokea kutoka kwa Mkuu wa Idara ya Operesheni za Ulinzi wa Amani za Umoja wa Mataifa ( DPKO ) Bw. Harves Ladsous, Medali Maalum ya Dag Hammarskjold ambazo wametunukiwa Mashujaa wanne walinda Amani kutoka JWTZ ambao walipoteza maisha mwaka 2014 wakati wakitekeleza majukumu yao. Umoja wa Mataifa umeitenga Mei 29 kama siku ya Kimataifa ya kuwakumbuka na kuwaenzi walinda amani ...

 

5 years ago

BBCSwahili

Coronavirus: Idadi ya waliopoteza maisha yafikia 366, kutoka 133

Italia imeripoti ongezeko la vifo vitokanavyo na virusi vya corona kutoka 133 hadi 366, mamilioni walazimika kufuata taratibu mpya kuzuia maambukizi zaidi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani