MASTAA WAKIMBILIA KANISANI KUJISALIMISHA
Stori: Waandishi Wetu HUKU maajabu mengi yakiendelea kutokea kila kukicha na hivyo kuashiria mwisho wa dunia unakaribia, mastaa kibao wa filamu wameonekana kujisalimisha kanisani na kuhudhuria ibada ya kiroho ya Inuka Uangaze maeneo ya Vatican -Sinza jijini Dar es Salaam. Mc Pilipili. Chanzo makini kilicho ndani ya kanisa hilo kilisema kwamba wasanii wengi wamevutiwa na huduma hiyo ambayo maombi yake hufanyika kila Jumanne na...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMASTAA WAOMBEWA KANISANI
11 years ago
BBCSwahili07 Jun
Waasi wapewa fursa ya kujisalimisha
10 years ago
Mwananchi27 Mar
Gwajima atakiwa kujisalimisha polisi
10 years ago
BBCSwahili02 Jan
Makataa ya FDLR kujisalimisha yakamilika
10 years ago
Mwananchi14 Mar
MAONI: Kurudi nyuma si kujisalimisha ni kujipanga
5 years ago
MichuziSIKU ZA WEZI WA MAGARI ZAHESABIKA, WAAGIZWA KUJISALIMISHA
Akizungumza na wandishi wa habari ofisini kwake Kamanda...
10 years ago
GPLISHU YA MASTAA KUJIUZA CATHY AWALAUMU MASTAA WA KIUME
9 years ago
Bongo503 Dec
Breaking: Magufuli awapa siku 7 wafanyabiashara wakwepa kodi kujisalimisha
Mkutano wa leo kati ya Rais Dkt John Magufuli na wafanyabiashara nchini kwenye ikulu ya Dar es Salaam haukuwa wa kunywa chai na cocktail bali wenye maelekezo muhimu na mazito.
Dkt John Magufuli akiongea na wafanyabiashara kwenye mkutano uliofanyika Alhamis hii ikulu jijini Dar es Salaam (Picha: Michuzi)
Katika mkutano huo, Magufuli ametoa siku saba, kuanzia leo kwa wafanyabiashara wote walioingiza bidhaa nchini bila kulipa ushuru wakajisalimishe na kulipa.
Mkutano huo umehudhuriwa na...
10 years ago
Raia Mwema01 Jul
Wabunge Ukawa wakimbilia CCM
ANGALAU wabunge wanne kutoka katika vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) wataham
Mwandishi Wetu