Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mtoto afa maji Mto Kizinga

MTOTO Khamis Sungura (11) mkazi wa Mbagala Kiburugwa jijini Dar es Salam amefariki dunia juzi baada ya kuzolewa na maji yaliyokuwa yakitiririka kuelekea Mto Kizinga kutokana na mvua zilizokuwa zikinyesha....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Mtoto afa maji

MTOTO Yunus Abijan (4) mkazi wa Keko Mwanga, Dar es Salaam, amefariki dunia baada ya kutumbukia kwenye kisima cha maji. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Englibert Kiondo, alisema juzi...

 

11 years ago

GPL

MTOTO AFA MAJI AKIENDA KANISANI

Stori: Dustan  Shekidele,Morogoro MTOTO Prince lsaack (10) mwanafunzi wa darasa la 5, mkazi wa Kata ya Kihonda, Maghorofani mkoani hapa, amefariki dunia wakati akiogelea mtoni na wenzake. Mwili wa Prince lsaack ukiwa unaelea majini. Prince alifikwa na mauti Jumapili iliyopita saa 7 mchana wakati akienda kanisani lakini kabla ya kufika huko waliamua kuogelea katika Mto Ngerengere bila kujua hatari iliyokuwa mbele yake.
...

 

5 years ago

CCM Blog

GARI LATUMBUKIA MTO WAMI, DEREVA BADO YUPO CHINI YA MAJI. MTO UNA VIBOKO NA MAMBA (+ VIDEO)


Kutoka Daraja la Wami, zimetokea ajali mbili tofauti ambazo hazijapishana sana, moja ni ya Lori ambalo lilifeli breki na kutumbukia Mtoni na bado halijatolewa huku ikiaminika kuwa Dereva bado yupo ndani ya Lori hilo chini ya maji tangu Ijumaa June 05, 2020 ajali ilipotokea, wenzake wawili tayari wameokolewa .Wakati Watu wakiwa wamejaa kushuhudia ajali hiyo ghafla Lori jingine pia likafeli breki na kuua Watu wawili (Mama na Mtoto) kisha kuyazoa magari zaidi ya sita ambayo yote yameharibika...

 

10 years ago

Michuzi

MUWSA YASAMBAZA BOMBA ZA MAJI MRADI MKUBWA WA MAJI MTO KARANGA

Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya kaskazini.
TATIZO la upungufu wa maji katika Manispaa ya Moshi linaelekea kuwa historia ifikapo mwezi Desemba mwaka huu kufuatia kukamilika kwa utekelezaji wa  mradi mkubwa wa maji uliopo katika chemchem ya Mto Karanga ambao umegharimu kiasi cha shilingi milioni 382.
Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira ( MUWSA), Mhandisi Cyprian Luhemeja amefafanua kuwa, mradi huo utakapokamilika utahudumia maeneo ya Bomambuzi, Pasua ,...

 

10 years ago

GPL

MUWSA YASAMBAZA BOMBA LA MAJI KATIKA MRADI MKUBWA WA MAJI MTO KARANGA

Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira mjini Moshi,MUWSA ,Mhandisi Cyprian Luhemeja akiwaonyesha wanahabari chanzo cha maji kilichopo Mto Karanga .…

 

9 years ago

StarTV

Uharibifu Vyanzo Vya Maji Mto Zigi vya waweza kusababisha tatizo la maji Tanga

Mamlaka ya majisafi na majitaka Tanga UWASA imesema uharibifu wa mazingira katika vyanzo vya maji vya mto Zigi unaweza kusababisha jiji hilo kuingia kwenye tatizo la maji.

Tayari Mamlaka hiyo imeanzisha Umoja wa Wakulima hifadhi Mazingira Kihuwhi Zigi, UWAMAKIZI kama harakati ya kukabiliana na uchimbaji wa madini, kilimo na ukataji wa miti kwa ajili ya mbao.

Jiji la Tanga hutegemea maji ya mto zigi kama chanzo pekee cha maji na shughuli za kibinadamu kwenye vyanzo vya mto huo huenda...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwanachuo afa maji

MWANAFUNZI wa Chuo cha Utumishi jijini Dar es Salaam, Deus Josephat (21), mkazi wa Mjimwema, amefariki dunia alipokuwa akiogelea na wenzake ufukweni mwa Bahari ya Hindi eneo la Maweni Beach...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mwanaume afa maji

WATU wawili wameripotiwa kufariki dunia jijini Dar es Salaam juzi katika matukio tofauti likiwemo la kufa maji. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Englibert Kiondo, alisema juzi saa 10 jioni,...

 

10 years ago

Mwananchi

Afa maji Sikukuu ya Krismasi Tanga

Mkazi wa Pongwe jijini Tanga, Hamis Adam (17) anahofiwa kufa maji baada ya kuzama katika Bahari ya Hindi wakati akiogelea na wenzake na mwili wake haujapatikana.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani